ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Tatizo la huyo mbongo lia lia jibu lake hili hapaMashairi mengii labda bed mshikaji wako ni boya tu hapigi show za kibabe na pesa zake ataachwa akishangaa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinu za Nini sasa! Kama rafiki Yako hatakiwi, mwanamke haporwi yeye mwenyewe ndio anaamua aende wapi.una dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.
Akionja tu ndo bas tena....wanamitalimbo ya hajaWanaijeria Wana dudu la yuyu la hatar na sio vibamia vyetu.
Akae amuangalie kwa makini, akishaona ameanza kuvaa yale mavitenge makubwa makubwa ujue tayari kashapigwa miti na ahadi ya ndoa ya kimila performer akiwa Wizkid!
Possibility ni kubwa mpka sasa hivi tayari binti ashakutana na chuma ya doshi ndo maana mwamba anaona mapichapicha. Most times masinemarie yanaanza baada ya kuliwa mzigo maana hapo dem ndo anajua kabisa tofauti ya ukuni na kiberiti
Kama yeye ndo muhusika, basi kichwa chake kina mbegu ya parachichi badala ya ubongo. Maana hiki kitu anachoomba msaada kiko wazi kabisa. Shida hawa vijana mapenzi wanayakutia ukubwani bila kua na misingi imara. Mpaka sasa hivi kashachapiwa iko wazi. Maskini mdada wa watu hadi anamtetea mnaija wake, sasa fikiria mnaija anaambiwa nini kuhusu huyu mshkaji. Itakua jamaa anapondewa kinyaaama kwa mnaijaIla watuuuu😂😂😂 what if muanzisha uzi ndio muhusika hizi comments
Akizidiwa akili na Kidume mwingine labda Mwafrika kusini pia amtangulize na hiyo manati ya kizungu?
Talking from experience?Akionja tu ndo bas tena....wanamitalimbo ya haja
Unapoteza mda demu kishaonesha yupo mguu ndani mguu nje, inawezakana mpaka sasa huyo mdogo wako ni kidumu cha huyo demu, mapenzi ni kujaliana so dogo anaforce.Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.
Huyo girlfend wake ni mrembo wa sura na shape kote, kaelimika (sio msomi wa vyeti), kwao pesa zipo maana mzee ni mzito wa kitengo flani, anajitamua, n.k. (Kiufupi hata mimi huwa nampa moyo dogo kwamba hapo alipopata asiachie)
Sasa kuna mnaijeria hapa anataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua maana kaanza kuiteka akili ya girlfriend wa huyu dogo,
Dogo kama ni pesa anazo maana alipata bahati adimu mno kuajiriwa shirika ambalo ni ndoto ya wengi kipindi cha magu, ila pia anafanya biashara inayomlipa, ana ndinga kali, kama ni kuhonga tu hata 50 kwa siku huo uwezo anao ila gf wake ni kama huwa anamaindi, huwa anapendaga out hizi za weekend na vizawadi vidogo vidogo.
Kuhusu ishu nyingine kama kuvaa dogo anagonga pamba maana pesa anazo si haba, kama ni gari ya kupigia misele na dem wake anayo ndinga kali tu, kuhusu swaga dogo hajazubaa, kama ni kumjali huyo gf wake anamjali sana tu na gf wake analijua hilo.
Dogo alipiga maswali gf wake kumuuliza ni vipi na huyo mnaijeria, gf wake kakazania ni marafiki tu lakini kwa akili zetu wanaume hii ni hali ya atari (danger zone), muda wowote koloni linaporwa.
Ni mbinu zipi za kivita zitumike kulitetea taji hapa nyumbani?