Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

Tatizo huyo demu ana ushamba na ulimbukeni kwamba ana mnaigeria anamtaka ,Hapo unaweza kuta ameshawaambia marafiki zake wote .....kumtoa kwenye hicho kivuli cha mnaigeria sio swala dogo ,
Huo urafiki ambao anauendekeza lazima aliwe tuu
 
Ukisikia wa Tz wanne kati ya kumi ni vichaa ndo Hii sasa yaani ubongo wako na mdogo wako mmeshidwa kutatua ujinga huu?
 
una dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.
Mbinu za Nini sasa! Kama rafiki Yako hatakiwi, mwanamke haporwi yeye mwenyewe ndio anaamua aende wapi.
 
Kama ana manati ya mzungu, amtangulize mbele ya haki huyo mnaijeria

20220409_150402.jpg
 
Aachwe aende zake.Wala asimfuate.
Mambo ni mengi...afanye yake.
 
Akae amuangalie kwa makini, akishaona ameanza kuvaa yale mavitenge makubwa makubwa ujue tayari kashapigwa miti na ahadi ya ndoa ya kimila performer akiwa Wizkid!
Possibility ni kubwa mpka sasa hivi tayari binti ashakutana na chuma ya doshi ndo maana mwamba anaona mapichapicha. Most times masinemarie yanaanza baada ya kuliwa mzigo maana hapo dem ndo anajua kabisa tofauti ya ukuni na kiberiti


Ila watuuuu😂😂😂 what if muanzisha uzi ndio muhusika hizi comments
 
Ila watuuuu😂😂😂 what if muanzisha uzi ndio muhusika hizi comments
Kama yeye ndo muhusika, basi kichwa chake kina mbegu ya parachichi badala ya ubongo. Maana hiki kitu anachoomba msaada kiko wazi kabisa. Shida hawa vijana mapenzi wanayakutia ukubwani bila kua na misingi imara. Mpaka sasa hivi kashachapiwa iko wazi. Maskini mdada wa watu hadi anamtetea mnaija wake, sasa fikiria mnaija anaambiwa nini kuhusu huyu mshkaji. Itakua jamaa anapondewa kinyaaama kwa mnaija
 
Huyo dogo anaonekana mnyonge sana, ni simple tu piga stop dem kuwasiliana na huyo mnaigeria wake.

Sema dogo ndo kashazama sasa na nadhani huyo dem kashajua hili kolo nishaliteka.

Kama unategemea mbinu za kumpa vitu, zawadi na hizo outing msahauni huyo dem. Mnigeria yeye kua tu mnigeria tayari hiyo ni sifa tosha ya kumdaka huyo manzi.
Na walivo mataperi wale watu aisee wana mbinu za hatari. Mpe pole jamaa mshauri atafute kipozeo tu, hana chake hapo.
 
Kama ana manati ya mzungu, amtangulize mbele ya haki huyo mnaijeria

View attachment 2184657
Akizidiwa akili na Kidume mwingine labda Mwafrika kusini pia amtangulize na hiyo manati ya kizungu?

Sasa atatanguliza wangapi nakati viumbe vyenyewe huwa havitabiriki(havina love permanent warranty) [emoji848][emoji16]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hapa unaomba ushauri ufanyaje, ukute mnaijeria yeye anafanya kazi na kumpa P2 halafu akishamalizana naye anamwacha mwanamke anarudi kwenu halafu nyinyi mnashangilia ushindi.

Mwambie mdogo wako awe mwanaume, na hizo pesa akiwa mwanaume hawezi kuja kwako kuomba ushauri wa kumpigania mwanamke na mnaijeria, labda ushauri wa atawakimbiaje wanawake maana ni wengi.
 
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.

Huyo girlfend wake ni mrembo wa sura na shape kote, kaelimika (sio msomi wa vyeti), kwao pesa zipo maana mzee ni mzito wa kitengo flani, anajitamua, n.k. (Kiufupi hata mimi huwa nampa moyo dogo kwamba hapo alipopata asiachie)

Sasa kuna mnaijeria hapa anataka kuingiza mchanga kwenye kitumbua maana kaanza kuiteka akili ya girlfriend wa huyu dogo,

Dogo kama ni pesa anazo maana alipata bahati adimu mno kuajiriwa shirika ambalo ni ndoto ya wengi kipindi cha magu, ila pia anafanya biashara inayomlipa, ana ndinga kali, kama ni kuhonga tu hata 50 kwa siku huo uwezo anao ila gf wake ni kama huwa anamaindi, huwa anapendaga out hizi za weekend na vizawadi vidogo vidogo.

Kuhusu ishu nyingine kama kuvaa dogo anagonga pamba maana pesa anazo si haba, kama ni gari ya kupigia misele na dem wake anayo ndinga kali tu, kuhusu swaga dogo hajazubaa, kama ni kumjali huyo gf wake anamjali sana tu na gf wake analijua hilo.

Dogo alipiga maswali gf wake kumuuliza ni vipi na huyo mnaijeria, gf wake kakazania ni marafiki tu lakini kwa akili zetu wanaume hii ni hali ya atari (danger zone), muda wowote koloni linaporwa.

Ni mbinu zipi za kivita zitumike kulitetea taji hapa nyumbani?
Unapoteza mda demu kishaonesha yupo mguu ndani mguu nje, inawezakana mpaka sasa huyo mdogo wako ni kidumu cha huyo demu, mapenzi ni kujaliana so dogo anaforce.

NB:Ktk maisha yangu sinaga upuuzi wa kupigania penzi nikiona mwanamke hajielewi na jiweka pembeni mapema, kama demu ana kuelewa hutumii nguvu bali vitu huflow vyenyewe.

Ningekuwa mimi ningemwambia aachane naye afanye mambo mengine.
 
Urafiki tu... unatofautiana kati ya mtu na mtu/ taifa kwa taifa.
Jinsia moja kwa jinsia tofauti/ ustaarabu wa watu na watu.
Utamaduni wa mtu na mtu hata pia exposure.
Sasa kama kuna viashiria tofauti si mbaya yeye pia ku-act as a gentleman kujua nini kinaendelea asifanye maamuzi kwa emotions.
 
Mkuu ukisema ni wewe utapungukiwa nini?sasa fanya hivi njoo Angola [emoji1029] utakuta watoto wa kireno wengi balaa ni wewe tu kasi yako ya uchakataji maana watoto ni wakali balaa halafu hawajui hata kukataa ili mradi tu uwe na visenti vya kutoka kila weekend,ukifika huku utajiona fala sana kulilia na wanawake wa kibongo wanuka jasho [emoji28]
 
Back
Top Bottom