Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

Ushaliwa na wanaume Wanigeria wangapi na wabongo wangapi binti mpaka ukahitimisha hivyo?
Huwez jua kwakua hujui habar zao, wao ndio wanaongoza kuwa na mitalimbo, sema matapeli tapel mambo yao.
 
Yani binti alikosa kabisa ushahidi mwingine wa kuonesha kwamba anafahamiana na jamaa hata picha walizopiga wakiwa pamoja??
 
Duh!!noma sana.Lkn kwa jinsi ninavyowajua dada zetu na akili zao, sidhani km ataweza kuelewa hata km akieleweshwa.Sana sana atasema mnamuonea wivu.
 
Mshikaji mwambie dogo Kwenye mapenzi suala siyo pesa wala unyunyu wala ndinga kali wala biashara wala kuwa na hela benki mzee, Akili za wanawake wanazijua wenyewe, fanyeni mambo ya msingi maana huyo demu hujui anasimamia nini kwenye kichwa chake hizo sifa za kitoto ulizotoa hazitawasaidia wala kama demu akiamua kumtema huyo mdogo wako atafanya ivo tuu
 
Wako smart sana kwa evidence, wanajitahidi kutoa evidence zote.
 

🤣🤣🤣🤣 mtamuua kwa presha
 
Mnaigeria anachukua Jimbo...huyo dogo aandike maumivu...Kuna kampuni moja nilifanyaga kazi...secretary wa boss kisu Cha hatari na boss anamkula...jamaa kibao walijaribu kirusha ndoano bila mafanikioa pamoja na pamba zao kali na maunyunyu kama dogo.

Kipindi Fulani akaja mnaigeria kutufanyia training ya software Fulani. Alimkula yule demu na kusikolika na video alikuwa anamchukua anakuja kunionyesha maana mm na yeye ziliiva balaa maana mm ni fast learner .

Nilipomuambia demu ni chakula ya boss akaniambia hata demu kamuambia ila kwa saound alizompiga demu alishindwa kuchomoa.

Baada ya mnaigeria kuondoka na mm nikamtokea demu..akanitolea nje nikamwambia uchafu wako wote uliokuwa unafanya na mnaigeria naujua..akaniambia kweli ulivokua karibu na mnaigeria inawezekana unaujua...akaniambia isiwe kesi sisi watu wazima...tukalianzisha..
 
Ushaliwa na wanaume Wanigeria wangapi na wabongo wangapi binti mpaka ukahitimisha hivyo?
Mabinti wengi wa kitanzania uko USA wanaolewa Sana na na watu kutoka west Africa, either kwa sababu ya uchumi maana nasikia wanajitoa Sana, pia hiyo dudu la punda ndo maana ukikuta binti ana date na wa west mara nyingi ukingia hapo unaogelea tu unaweza usimalize test zero kabisa. Wanapanua sana. Kwa sababu ya mitalimbo mikubwa.
 
Bila kuhudika Moja kwa Moja,
Wafanyie fitna wagombane wao kwa wao wachukiane mazima[emoji4]
 
Amwache tu atapata mwingine
 
Hao foreigners njaa njaa Kama hao wanaijeria dawa yao ni simple KABISA,

Mtaftie vijana wasojulikana wamteke, afungwe kitambaa usoni,kamba mikono na miguuni na Kichapo kiasi Kisha kwenda kumtupa maporini uko mto ruvu Bila kumsemesha chochote kile.

Ukimfanyia hivo Mara 3,
Anakimbia KABISA KABISA nchi Hii, anaona Hii nchi Haina USALAMA ntakuja kufa bure[emoji4]
 
Umeandka meng gar kal cjuw pamb,hela vyote vidog .Je amekamata hisia za mtot ipasavyo.Mana awezatow vyote akafel mahal padog.Akasaidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…