Mnamkumbuka nancy mitikisiko na blog yake, ila ujana🤣, ni maji ya moto aisee!

Kumbe mmeanza kuharibikiwa muda mrefu. Cha ajabu leo hii Mange anaonekana ni mpigania haki wakati naye ame play part kubwa ku spoil hii society
Pole sana uliyeharibikiwa ni wewe.... Pili ni haki ya kila mwanamke kufika kileleni, kumwaga maji.........
We endelea kupiga kelele
Na kuhusu anayofanya mange alishaeleza kwa anafanya hivyo.
Pia anachofanya kinasapotiwa na hao hao huko juu na ndio maana anaweza kupata taarifa ambazo wewe huwezi so tulia.
 
Mange alikuwa ana operate blog mbili kwa mpigo huku rahatupu kajiita nancy kulet u turn aliendelea kujiita mange so the uturn na rahatupu alikuwa ni mtu mmoja anaitwa mange kimambi aka nancy alijiita nancy kujificha tu
 
Huu ni utetezi wa hovyo kuwahi kutolewa tangu huu mwezi umeanza.
 
Umeichambua vizuri sana mkuu.
Kumbe kitambo kwenye gemu.
 
Kumbe Dada na wewe una mafaili?
 
Mange alikuwa ana operate blog mbili kwa mpigo huku rahatupu kajiita nancy kulet u turn aliendelea kujiita mange so the uturn na rahatupu alikuwa ni mtu mmoja anaitwa mange kimambi aka nancy alijiita nancy kujificha tu
Niishie hapo lakini kaa ukijua ni watu wawili tofauti.....
Na mizigo ya Nancy iliwahi kukamatwa airport hapo ndio tulijua kutofautisha.
Na sakata la ze utamu kufungiwa kwa kupost muheshimiwa akiwa akiwa amepozi na totoz ndio liliwatoa mafichoni..... Labda uniambie mange ni mojawapo wa walikuwa kule ze utamu
 
Unaingia Internet cafe unatafuta angle nzuri ya kuangalia mapilau, nusu ya mda unautumia kuangalia blog ya Mitikiso.
Ulikuwa unajitahidi sana mkuu, ulitumia nusu ya muda tu wakati wengine tulikuwa tunaacha dakika Tano tu za matumizi mengine katika lisaa Huku 55 zote tukiwa tunajivinjari worldsex, Raha tupu na maeneo mengine?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…