Mnamkumbuka nancy mitikisiko na blog yake, ila ujana🤣, ni maji ya moto aisee!

Kume kucha 🔥🔥😁
 
Raha tupu ilitikisa sana enzi hizo, hivi hii blog bado ipo?
 
Blog ya raha tupu ilikua hatari mno hasa ukiona amepost nancy n kuna mwamba mwngne alikua anaitwa WASHAWASHA ilikua hatar sana enzi hizo nipo form 3 htr tupu
 
Ndo huyo mweupe hapo?
Kuna picha flan ya kitambo yupo na chupi tuu ziwa nje nje 🔥
Kwa kipindi hicho anaonyesha alikuwa na mwili mzuri sana
 
The utam tofauti na raha tupu vitu viwali tofauti ....mange yeye alikuwa ana operate uturn na raha tupu , the utam mtu mwingine wao ndo walikamatwa kwa kupost picha za kutengenezwa za mheshimiwa
 
Kumbe ni hawa!!! Huyu dada mweupe nimemnyetukia kinoma, alikuwa na picha plani hivi kavaa chupi nyeupe juu yuko wazi halafu kaziba chuchu kwa mikono.
 
Kwa usimuliaji huu, umeshafika umri wa kutoa laana sasa Mjukuu (kidding)😜

Kwa kweli maisha yameenda kasi sana, eti hawa mashangazi saivi ndiyo waheshimiwa wetu now 🙌🏃🏃
 
Enzi hizo hakuna VPN kuangalia hayo mambo, na of course video nyingi zilikuwa 80 za Kibongo

Ni katika kipindi hicho, mtandao wa Tigo ndiyo ukaanza kutumiwa japo sio kama miaka hii 🙌😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…