Mnamkumbuka nancy mitikisiko na blog yake, ila ujana🤣, ni maji ya moto aisee!

Guuguu.
 
Kwa mapicha yaliyo kuwa yanatumwa kule raha tupu kipindi hiko ni ngumu kuamini kuwa kuna watu ni mashoga hadi leo hii.

Ile blog ilikuwa balaa inafanya chaputa wapate wanachama kila sekunde
 
Natazama hilo guu
 
Kwa usimuliaji huu, umeshafika umri wa kutoa laana sasa Mjukuu (kidding)😜

Kwa kweli maisha yameenda kasi sana, eti hawa mashangazi saivi ndiyo waheshimiwa wetu now 🙌🏃🏃
Babu tulia..... Mara moja moja tunashare story kama hizi sio mbaya.
 
Babu tulia..... Mara moja moja tunashare story kama hizi sio mbaya.
Utafanya tuanze kukumbukia mambo ya Mwaka 47 Ujue 😜

Experience ndiyo ina matter Mjukuu, ndiyo maana kwenye ajira wanataka uzoefu 🤗
 
Utafanya tuanze kukumbukia mambo ya Mwaka 47 Ujue 😜

Experience ndiyo ina matter Mjukuu, ndiyo maana kwenye ajira wanataka uzoefu 🤗
Mambo 47 nikiyakumbuka najikuta tu nacheka natabasamu yaani !!!!??!

Experience muhimu Sanaa!!! Si unaona wadogo zetu wanateseka buree ....kila siku nyuzi za malalamiko ya wanawake wakati uchawi wanao wenyewe.
 
Acha uongo.
 
Hahaha..............Mwaka 47, those were days 🤗

Siku moja moja uwe unawapa Shule "madogo" kuhusu mahusiano

Waambie wakumbuke msemo wa memba mwenzetu "...hayanaga mwongozo.."😅
 
Mange alikuwa ana operate blog mbili kwa mpigo huku rahatupu kajiita nancy kulet u turn aliendelea kujiita mange so the uturn na rahatupu alikuwa ni mtu mmoja anaitwa mange kimambi aka nancy alijiita nancy kujificha tu
Uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…