Mjinga ni yule anayeamini katika budget ambayo inasomeka bila utekelezaji.Wewe ni mjinga sasa ka.hata hujui vipaombele vya Serikali na budget read out zipo una maana gani? Why bother kumjibu mpumbavu?
Wewe ni kama sukuma gang, umekaa kulia lia bila kuleta mbadalaHuo ndio Ukweli mchungu kuumeza, lakini usiokwepeka.
Sio ujasiri wala ushujaa kwa viongozi kutembea mkifurahia mikopo na kujipiga kifua mbele ya wananchi majukwaani,kama vile ni jambo la kheri na kishujaa kukopa kopa bila Dira ya kitaifa.
Mnapaswa pia kutoa elimu kwa wananchi, juu ya madhara ya mikopo hiyo kwa uchumi wa nchi.
Ili wananchi waweze kujiandaa kisaikolojia huko mbeleni.
Kwa sababu nyinyi viongozi mnakwenda kukopa huko,lakini walipaji wakuu ni wananchi na vizazi vyao.
Kwa nchi iliyojaaliwa raslimali kama hii ya Tanzania.
Hatukupaswa na hatustahili kushinda mguu na njia kwenda kutembeza mabakuli huko Duniani,sambamba na nchi maskini wa kweli ambazo zipo Africa na kwingineko.
Wakati huo tukiziacha mali zetu zikichotwa kwa mkono mwingine na hao hao wakopeshaji,kwa msaada wa baadhi ya wenzetu wachache kwa manufaa binafsi.
Kwani mifano hai ya mikopo hiyo na madhara yake kwa ushamiri wa taifa tunao.
Mfano wa karibuni kabisa ni huu unaoendelea huko Sri Lanka [emoji1224].
Walikopa hadi wakanyanganywa Bandari yao kuu.
Na sasa wanaelekea kupoteza uhuru wao kama taifa.
Ni baada ya hao hao IMF watalapoitangaza Sri Lanka kama nchi iliyofilisika.
Bado mfano mwingine wa madhara ya mikopo uko Lebanon [emoji1146].
Kwa hiyo CCM wakati mkisifia ukopaji muelewe jinsi mnavyoelekea kulitumbukiza taifa hili tajiri la raslimali,mikononi mwa wakopeshaji.
Watumishi wa umma ni sehemu ndogo sana ya idadi kamili ya watanzania.Sijawahi kuipenda CCM, ila kwenye ukweli nitasema. SSH amepokea nchi ikiwa kwenye mzigo mzito wa miradi mikubwa na mapato kidogo, miaka 6 hakuna nyongeza ya mishahara, ajira mpya, watumishi kupandishwa vyeo vitu ambavyo mwendazake hakuviweza.
Jamaa wanaitafuna vizuri nchiHalafu wapambe na watoto wao tunabaki wakitusumbua huku mitandaoni kutetea wakubwa zao.
Hiyo ni miradi ya kurithi ilianzishwa na Magufuli bila tozo wala kutembeza bakuli huko IMF.Imagine vitu vidogo kama hivi huelewi eti na wewe ndio msomi huko Chadomo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]..
Kwamba hujui kwamba Serikali imejenga zaidi ya vituo vya afya 334 Nchi nzima kwa tozo za miamala au?
Sasa mtu kama.wewe una maana gani?
EeeeNHeeeeee!Huo ndio Ukweli mchungu kuumeza, lakini usiokwepeka.
Sio ujasiri wala ushujaa kwa viongozi kutembea mkifurahia mikopo na kujipiga kifua mbele ya wananchi majukwaani,kama vile ni jambo la kheri na kishujaa kukopa kopa bila Dira ya kitaifa.
Mnapaswa pia kutoa elimu kwa wananchi, juu ya madhara ya mikopo hiyo kwa uchumi wa nchi.
Ili wananchi waweze kujiandaa kisaikolojia huko mbeleni.
Kwa sababu nyinyi viongozi mnakwenda kukopa huko,lakini walipaji wakuu ni wananchi na vizazi vyao.
Kwa nchi iliyojaaliwa raslimali kama hii ya Tanzania.
Hatukupaswa na hatustahili kushinda mguu na njia kwenda kutembeza mabakuli huko Duniani,sambamba na nchi maskini wa kweli ambazo zipo Africa na kwingineko.
Wakati huo tukiziacha mali zetu zikichotwa kwa mkono mwingine na hao hao wakopeshaji,kwa msaada wa baadhi ya wenzetu wachache kwa manufaa binafsi.
Kwani mifano hai ya mikopo hiyo na madhara yake kwa ushamiri wa taifa tunao.
Mfano wa karibuni kabisa ni huu unaoendelea huko Sri Lanka [emoji1224].
Walikopa hadi wakanyanganywa Bandari yao kuu.
Na sasa wanaelekea kupoteza uhuru wao kama taifa.
Ni baada ya hao hao IMF watalapoitangaza Sri Lanka kama nchi iliyofilisika.
Bado mfano mwingine wa madhara ya mikopo uko Lebanon [emoji1146].
Kwa hiyo CCM wakati mkisifia ukopaji muelewe jinsi mnavyoelekea kulitumbukiza taifa hili tajiri la raslimali,mikononi mwa wakopeshaji.
Haya maswali yako, majibu yako yapo kwenye hotuba ya Bunge la Bajeti 2022/23 Dr. Mwigulu NchembaWatumishi wa umma ni sehemu ndogo sana ya idadi kamili ya watanzania.
Ongezeko lao la mishahara impact yake kwa uchumi wa nchi hii ni ndogo kuliko wangewezeshwa sekta ya wajasiliamali ambao idadi na mchango wao ni mkubwa kwenye pato la taifa.
Haya mfano sasa mishahara imepanda ebu twende kwenye uhalisia wa maisha yao huko mitaani?
Hizi siasa za kusema nchi ilikuwa kwenye wakati mgumu ni propaganda mfu.
Ndio maana hata kiuchumi tumeporoka kutoka tulipokuwa tumefikia.
Hapo sasa ni majungu tu af wengi watoto wakiume sikuiz wana majungu kuliko Dada zetukuna member ameuliza humu nikumbushe ni lini uligongewa hodi nyumbani kwako kuombwa ulipe deni la taifa walau shilingi elf tano?
Akili huna👇Mjinga ni yule anayeamini katika budget ambayo inasomeka bila utekelezaji.
Tuambie kwanza ni wapi mwigulu anakopeleka pesa zitikanazo na Tozo.
Maana ametusomea budget ambayo inaelezea source ya mikopo tupu pamoja na kodi ya wananchi.
Lakini hstujaelezwa Tozo ni kiasi gani kwa kila mwezi na kibaelekezwa wapi kama kipaumbele?
Failures huwa hamkosi excuses 😆😆😆😆😆😆..Hiyo ni miradi ya kurithi ilianzishwa na Magufuli bila tozo wala kutembeza bakuli huko IMF.
Haya mengine endelea kuamini wewe ila mimi naangalia uhalisia.
Mnaofurahia sasa ni wale mliokuwa mmenuna kipindi cha udhibiti wa JPM.
Hizi zingine blah blah tu.
Mwambie aende shule akasome.Hapo sasa ni majungu tu af wengi watoto wakiume sikuiz wana majungu kuliko Dada zetu
Haya ww ulienda shule mbon hatuoni faida yakoMwambie aende shule akasome.
Mwambie ujinga ni mzigo ambao bila kusoma au kujitambua huwezi kuutua.
Mwambie analipa huo mkopo kupitia huduma zoote anazozilipia kuanzia asubuhi mpaka jioni ×7×4×12.
Hata mimi nilikuwa shabiki wa upinzani ila 2025 nitapigia kura Samia na sio CCM hata kama atabeba bendera ya CCM..Mama anatushawishi SANA hata sisi tuliokuwa wapinga kila kitu cha serikali, na ikiwezekana 2025 itakuwa mara yangu ya kwanza kura yangu ya uraisi kwenda CCM.
Sasa kuna mkopo wa bure we mbilikimo wa akili?Mwambie aende shule akasome.
Mwambie ujinga ni mzigo ambao bila kusoma au kujitambua huwezi kuutua.
Mwambie analipa huo mkopo kupitia huduma zoote anazozilipia kuanzia asubuhi mpaka jioni ×7×4×12.
Halafu tuonyeshe na ankara za serikali kutulipia hizo huduma za afya kwa kuchangia?Akili huna[emoji116]
Fuatilia ripoti za maendeleo na angalau maswali na majibu bungeni. Ukifuatilia kuna maswali hutouliza mfano la tozo zinaenda wapi na wakati tunachukua mikopo.....Mjinga ni yule anayeamini katika budget ambayo inasomeka bila utekelezaji.
Tuambie kwanza ni wapi mwigulu anakopeleka pesa zitikanazo na Tozo.
Maana ametusomea budget ambayo inaelezea source ya mikopo tupu pamoja na kodi ya wananchi.
Lakini hstujaelezwa Tozo ni kiasi gani kwa kila mwezi na kibaelekezwa wapi kama kipaumbele?
Kutokuwa na taarifa halafu ukabishia kitu usichokijua ni ugonjwa.Fuatilia ripoti za maendeleo na angalau maswali na majibu bungeni. Ukifuatilia kuna maswali hutouliza mfano la tozo zinaenda wapi na wakati tunachukua mikopo.....
Mkopo unaupata mara moja, tozo unakusanya taratibu. Kama ni madarasa unajenga kutumia tozo utatumia muda kulinganisha na ukichukua mkopo halafu ukarejesha kwa kutumia tozo na kodi. Au unataka mtoto kazaliwa mpaka kamaliza la saba ndipo madarasa yakamilike?