Dah,Na kwa Nini ukope na hapo una gesi asilia madini,bahari Kama sio UZUZU huo
Naona anapambana.😃Kutokuwa na taarifa halafu ukabishia kitu usichokijua ni ugonjwa.
Tueleze specific ni madarasa yapi ndio ya tozo na yapi ndio ya IMF.?Fuatilia ripoti za maendeleo na angalau maswali na majibu bungeni. Ukifuatilia kuna maswali hutouliza mfano la tozo zinaenda wapi na wakati tunachukua mikopo.....
Mkopo unaupata mara moja, tozo unakusanya taratibu. Kama ni madarasa unajenga kutumia tozo utatumia muda kulinganisha na ukichukua mkopo halafu ukarejesha kwa kutumia tozo na kodi. Au unataka mtoto kazaliwa mpaka kamaliza la saba ndipo madarasa yakamilike?
Madarasa 15,000 kwa wakati mmoja unayejengaje kwa tozo???? Kwa nini usijenge kwa mkopo ukalipa kidogo kidogo kwa tozo? Unajua Darasa 15,000 zimetoa nafasi za ajira za kudumu kwa watanzania wangapi? Unajua multiplier effects za ajira mpya kwenye uchumi??? Ukiweza kudadafua huo mlolongo huwezi uliza swali la kipuuzi kama hilo.Tueleze specific ni madarasa yapi ndio ya tozo na yapi ndio ya IMF.?
Hizi blah blah zingine acha maana bunge hutazami wewe binafsi tunatazama wote.
Nikueleze ni madarasa yapi yamejengwa na tozo na yapi ndio ya IMF? 😃.Tueleze specific ni madarasa yapi ndio ya tozo na yapi ndio ya IMF.?
Hizi blah blah zingine acha maana bunge hutazami wewe binafsi tunatazama wote.
Huyo ni ccm Team Jiwekuilaumu CCM hakukusaidii
Una utaahira kama wote.Halafu tuonyeshe na ankara za serikali kutulipia hizo huduma za afya kwa kuchangia?
Tunaongelea miradi yenye Tija ya uzalishaji na kupanua ajira kwa mtanzania huku nchi pia ikijiwezesha kusimama bila kutegemea misaada.
Hiyo ndio ilikuwa vision hasa ya Magufuli na sio hii ya kuomba omba halafu unakuja kuhesabia watu badala ya kuwarahisishia unafuu wa kupanda kwa gharama za maisha mtaani.
Unaomba omba halafu unakuja kutengeneza ramani za makazi ambayo unawatoza kodi wakazi wake kupitia LUKU!
Khe!
Madarasa yote mapya ni IMF na maboma yote yaliyomaliziwa na Serikali ni pesa za tozo.Nikueleze ni madarasa yapi yamejengwa na tozo na yapi ndio ya IMF? 😃.
Sikia, fanya hivi, kariri kama watoto wakitumwa dukani halafu wanaimba ili wasisahau.
"madarasa yanajengwa na mkopo halafu tozo na kodi zinalipa mkopo". ×3
Kama hujui inachofanya basi wewe ni taahira wa kiwango cha lami..Makusanyo ya kodi yameongezeka, na mikopo pia imeongezeka. Hizo pesa zinafanya kitu gani tangible?
Basi wewe ni taahira mkubwa kwani hata hujui kutumia pesa za mkopo. Werwe ni kati ya wale wanoakopa ili wanunulie pilau ya harusi. Ni ujinga kukopa hela nyingi hivyo ili kuendeshea serikali. Shangilia sasa, ila tuatakumbushana huko mbeleniKama hujui inachofanya basi wewe ni taahira wa kiwango cha lami..
Nimeshatoa Orodha humu ya mambo inayofanya ila unaropoka tuu..
Moja ya hayo mambo tangible ni ajira zaidi ya 32,000 mwaka ulioisha..
Uliza jingine.
Umejaa mausaa kichwani..Basi wewe ni taahira mkubwa kwani hata hujui kutumia pesa za mkopo. Werwe ni kati ya wale wanoakopa ili wanunulie pilau ya harusi. Ni ujinga kukopa hela nyingi hivyo ili kuendeshea serikali. Shangilia sasa, ila tuatakumbushana huko mbeleni
Sisi tuko umbali gani kutoka katika huo mstari?Nadhani huelewi mfumo wa ukopeshwaji unavyofanya kazi.
Ni kwamba kuna mstari ambao ukiishauvuka kama mkopaji.
Tayari unapoteza sifa za kukopesheka.
Na hapo ndio muziki unapoanzia.
hili ni angalizo tu maana kukopa hatima yake ni kulipa;.kuilaumu CCM hakukusaidii
Nimeipenda hii.Kumbuka kadri muda unavyokwenda na kadri kasi ya ukopaji inavyoongezeka.
Ndivyo tunausogelea ule mstari mwekundu.
Kuna kiwango maalumu ambacho tukifikia hata kesho tu.
Tayari tutakuwa tumepoteza imani kwa wakopehaji.
Ndipo hapo tutakapoanza kutakiwa kukopa kwa dhamana.
Wewe hilo hulielewi labda.
Nchi inakopa bila mpango kwa sababuKwani tukikopa hatulipi? Mwaka huu pekee tunakopa Til.8 na kulipa Til.10..Aliyekwambia Nchi inakopa bila mpango ni nani?
Na kwa taarifa yako ,madeni mengi yanayolipwa sasa yalikopwa toka enzi za Mwalimu na awamu zilizopita kutegemeana na muda wa kila deni.
Hakuna unachojua ,jibu swali ukikopa unatakiwa kufanya nini?Nchi inakopa bila mpango kwa sababu
1. Kukopa ili kujenga barabara ni kukopa bila mpangilio
2. Kukopa kujenga madarasa na hospitali ni uthibitisho wa kushindwa kuwa na mpango wa muda mrefu wa kuendeleza huduma zetu za jamii kwa mapato ya ndani
Na mwisho, kuna kitu kinaitwa nidhamu ya ukopaji. Ukikikosa hiki hata taasisi za fedha zitaondoa imani yao kwako na utakuwa mwanzo wa maumivu kama sifongo