Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Hapa kuna Logical and Direct connection gani na Mimi? Hongera kwa Kuitaja Brand ID yangu ya GENTAMYCINE Kiongozi wangu sawa?
Kwa hio GENTAMYCIME kukutaja ndio umekua brand?! Sawa mkuu, yule mpinzani wako Miss mia kala ban

Nasikia una ID zaidi ya 90 ya ukweli hayo au wanakupakazia?! Maana hata hii yangu unaweza ikawa moja ya ID zako

Cc: OKW BOBAN SUNZU
 
AZAM 2-3 YANGA
 
Kwa akili yako ilivyo, kila mtu asiyekusifia humu jukwaani, basi ana chuki na wewe! Anakuonea wivu!! Kwa lipi hasa?
 
Kwa akili yako ilivyo, kila mtu asiyekusifia humu jukwaani, basi ana chuki na wewe! Anakuonea wivu!! Kwa lipi hasa?
Kwasababu Mimi ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer GENTAMYCINE.

Una Swali lingine labda ili nikujibu pia?
 
Sikuchukii jamaa yangu,tupo pamoja, Kura zinapigwa wapi nikupe yangu!?...the most handsome, hardcore fucker
 
Sikuchukii jamaa yangu,tupo pamoja, Kura zinapigwa wapi nikupe yangu!?...the most handsome, hardcore fucker
Asante kwa Kunitukana hapo mwishoni Kiongozi na Ubarikiwe sana na zaidi kwa hilo Tusi.
 
NILIJUA WEWE UNAFURAHIA MATUSI KAMA UNAVYOTUKANA WATU HUMU, WEWE NI MTUKANAJI BORA WA MWAKA MTU MWENYE MDOMO MCHAFU ,UKISHINDA BASI HILI LITAKUWA JUKWAA LA MASHETANI,
 
Kwa hio GENTAMYCIME kukutaja ndio umekua brand?! Sawa mkuu, yule mpinzani wako Miss mia kala ban

Nasikia una ID zaidi ya 90 ya ukweli hayo au wanakupakazia?! Maana hata hii yangu unaweza ikawa moja ya ID zako

Cc: OKW BOBAN SUNZU
Swali lako ungelielekeza kwa Moderators na siyo Mimi kwani Wao ndiyo wanna Uwezo wa kujua kama nina IDs Milioni hapa JamiiForums.
 
Huyo Mungu ni shemeji yako? Pamoja na matusi yako ya kishenzi Mungu awe upande wako kweli?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Swali lako ungelielekeza kwa Moderators na siyo Mimi kwani Wao ndiyo wanna Uwezo wa kujua kama nina IDs Milioni hapa JamiiForums.
Hizo ni tetesi tu lakini inasemekana eti una ID zaidi ya 90 kweli sio kweli?!
 
NILIJUA WEWE UNAFURAHIA MATUSI KAMA UNAVYOTUKANA WATU HUMU, WEWE NI MTUKANAJI BORA WA MWAKA MTU MWENYE MDOMO MCHAFU ,UKISHINDA BASI HILI LITAKUWA JUKWAA LA MASHETANI,
Wala usiumie Kiongozi sitoshinda na atashinda umtakaye sawa? Wengine tulishabarikiwa na Mwenyezi Mungu tokea anatuumba hivyo unapoteza tu muda wako Kunichukia.

Muombe Mwenyezi Mungu nae akupe Shani ( Tunu ) kama aiizonipa ili Chuki zako Kwangu zimalizike sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…