Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

99.988% ya maisha yangu yote nimeishi hapa Dar
Lakini naweza kutaja idadi kamili ya sehemu nilizowahi kufika huku idadi kubwa ikiwa sijawahi kufika

Mie mvivu sana kutembea
 
Kuna njia huko unatokea mpaka kiaraka bagamoyo

Ova
 
Matembezi tu, mimi na babe wangu hua na desturi ya kujaza mafuta na kutembelea jiji letu na viunga vyake lakini pia tunaweza kunyoosha goti tukavuka mipaka ya jiji na kuingia miji mingine (RoadTrip) tunaenjoy nature na kuona tamaduni mbali mbali.
Ngoja na mimi nikazane nitafute bebi wangu awe ananitembeza tembeza.
Naona wilaya ya Temeke na baadhi la maeneo Ilala district huko ndani ndani sipajui kabisa.
 
Komando jichanganye ukaibe kule
 
1. Tandale.
2. Lugwadu.
3. Homboza
4. Vianzi
5 Mgeni nani
6.Pemba mnazi.
7. Buyuni
8. Mbutu
9. Mongo la ndege
10. Kwa Mkua
11.King'azi
12. Pugu mnadani
13.Mwabwepande
14. Mabibo
15.kigogo/Mburahati
16. Vikindu/Kisemvule
17.Kiburugwa.
18. Mbagala kuu
19. Tuangoma
20.kijichi
21. Loliondo
22. Tabata kusukuru.
23. Mvuti/mbondole
NK

Haya maeneo.kama huna kipaji cha uzururaji unaweza usifike maisha yako yote unless uwe na makazi kati ya maeneo hayo.
 
Kulasini sijawai paelewa kabisa pale paMekaaje
Pako na ushuwani napo
S3ma kumepoa
Kama kule nyuma ya uhamiaji
Alipokuwa anakaa mama Terry zamani palikuwa fresh,kimya na kuna nyumba za bandari sjui kama zipo au wameuziana
Sema kurasini kumepoa
Hata kijichi sahv pako poa sana

Ova
 
Pako na ushuwani napo
S3ma kumepoa
Kama kule nyuma ya uhamiaji
Alipokuwa anakaa mama Terry zamani palikuwa fresh,kimya na kuna nyumba za bandari sjui kama zipo au wameuziana
Sema kurasini kumepoa
Hata kijichi sahv pako poa sana

Ova
Kijichi nimekaa sana kurasini nimetembea sija paelewa kabisa now natka kukaa goba au bahari beach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…