Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Kuna mwana alikuwa ananizimia sana Tambaza kuna siku akasema wewe leo nakupeleka kwetu Mburahati hujawahi kufika huko.

Tukaenda Mburahati mpaka kwao sikuamini pale ni Dar es salaam wala si mbali na Magomeni.

Nilikuwa sijawahi kufika.
Sasa hapo uende kwenye mpaka wa mburahati,kigogo na manzese πŸ˜„
Kuna wahuni hao watoto walikuwa wanajiita roho juu ndy zetu πŸ˜„
Ukipita bila code lazima wakulambee

Ova
 
Kifuru kuna watu wanajuwa kuishi bana
Kuna sehemu kifuru ukienda unaingia kulia ndani ndani unafika mpaka kisarawe na mnara unasoma kisarawe
Kifuru pako byeee

Ova
 
Ipo kama unaenda kinyerenzi kule sio kwakukaa
Kule Kinyerezi kuna siku niliamua kutembea tu kutoka Segerea nika fika Kinyerezi. Kulikuwa kama kijijini kumejaa vijumba vya udongo na mikorosho. Kwa kina Ditopile kule. Kipindi hicho miaka ya mwanzo ya 1990s.

Siku hizi nasikia kumejengeka sana.
 
Kivule uwizi vibaka hakuna
Aise wakikamata mwizi kule anavanikwa
Pale kwa mpemba mbele kdg unaingia kulia kuna mji fulani safi sana watu wamejenga kwa mipango kuko poa sana

Ova
Sio huko ambako wanakaa wakurya??

Naskia kuna mji huko wanakaa wakurya wale waliofukuzwa kwao huko kwa tabia mbovu za wizi, ujambazi au uchawi. Kile kizazi kilichotimulia kimeisha wamebaki wale fresh, hao ukiwanyia ujinga huchelewi kwenda akhera, hawacheki na kima. Wakiskia Mwii baaasi umekwisha.
 
Kuna mitaa hapo bagamoyo panaitwa nia njema pako vzr sana

Ova
Yeah Bagamoyo sehemu nyingi sana ziko vizuri, watu sasa hivi ndio wanawahi viwanja huko yani kuanzia miaka kumi hadi ishirini ijayo, patakuwa hapashikiki kama palivyo Mbweni sasa hivi
 
Kifuru kuna watu wanajuwa kuishi bana
Kuna sehemu kifuru ukienda unaingia kulia ndani ndani unafika mpaka kisarawe na mnara unasoma kisarawe
Kifuru pako byeee

Ova
Shida ni barabara zetu.mbovu sana. Kipindi cha masika hapatamaniki huko
 
Kule Kinyerezi kuna siku niliamua kutembea tu kutoka Segerea nika fika Kinyerezi. Kulikuwa kama kijijini kumejaa vijumba vya udongo na mikorosho. Kwa kina Ditopile kule. Kipindi hicho miaka ya mwanzo ya 1990s.

Siku hizi nasikia kumejengeka sana.
Kinyerezi kuna mashuwa sana
Sema tabata bar zinaharibu mandhari
Kama unavyoiona sinza obay masaki sahv

Ova
 
Sasa hapo uende kwenye mpaka wa mburahati,kigogo na manzese πŸ˜„
Kuna wahuni hao watoto walikuwa wanajiita roho juu ndy zetu πŸ˜„
Ukipita bila code lazima wakulambee

Ova
Kule nomaa, kuna yale maboda fulani ya mpaka mabondeni, Muhimbili-Magomeni, Magomeni -Tandale - Sinza, Magomeni - Mwananyamala, Mwananyamala-Kijitonyama.

Nishakata yote hayo kwa mguu.

Yale usipoyajua hujaijua Dar bado. Ila siku hizi yale sijui kama ni salama kihivyo.
 
Kule Kinyerezi kuna siku niliamua kutembea tu kutoka Segerea nika fika Kinyerezi. Kulikuwa kama kijijini kumejaa vijumba vya udongo na mikorosho. Kwa kina Ditopile kule. Kipindi hicho miaka ya mwanzo ya 1990s.

Siku hizi nasikia kumejengeka sana.
Now kinyerenzi kwa washua broo
 
Ukiwa kule chini hananasif au Moscow muhimbili dk 3 ushafika kuna boda
Kuna wakati watu wengi walikuwa wanaenda kujiunga kifurushi cha chuo huko mnara unasomq πŸ˜„

Ova
 
Kifuru kuna watu wanajuwa kuishi bana
Kuna sehemu kifuru ukienda unaingia kulia ndani ndani unafika mpaka kisarawe na mnara unasoma kisarawe
Kifuru pako byeee

Ova
Mkuu Mimi kwa Dar hii na maeneo yote niliyotembelea so far, bado sijaona sehemu watu waliyofanya kufuru ya mijengo kiujumla kama Mbweni, yani sasa hivi sijui hata ni maeneo gani tena Dar yanatanishitua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…