Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Hivi Pugu nayo siipo Temeke, aisee kule pia hali si shwari ,ukipita na SGR juu unakutana na bati zimechakaa sio poa, vijumba mbanano, meza za wauza matumbo, vichwa vya kuku etc
 
Hivi Pugu nayo siipo Temeke, aisee kule pia hali si shwari ,ukipita na SGR juu unakutana na bati zimechakaa sio poa, vijumba mbanano, meza za wauza matumbo, vichwa vya kuku etc
Temeke umasikini ni mkubwa mno ukilinganisha na Wilaya zingine zote za mkoa wa Dar Es Salaam..
 
Wewe unayeishi Ilala na hao wanaoishi Temeke tofauti yenu ni nini ikiwa mwanaume mzima ulibakiwa na nauli tu? Kisha unaleta masimango humu ilimladi tu uonekane umeanzisha uzi?
We ndio huyo mama aliyetoa 500 kwa watoto wake nini maana si kwa makasiriko hayo😀😀😀😀
 
Na hapo bado Trump hajaanza kukabia Juu..

😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…