Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Hongera kwa kutukumbusha. Ila na wewe tuendelee kujikumbusha wote, umasikini mbaya sana
 
Inaumiza sana, hao watoto baba zao wapo wapi mbwa hao?!
 
Umekuja lini mjini, Ma anacheza kigodoro na kanga moko, kitu tigo hao watoto atawajali sa ngapi? Mtoni kwa Aziz Ally mi nilikuwepo pale.
Chapati 3 na bakuli la maharage 500 watu wa3 mnashiba kabisa.
Ushafika Njaro Temeke?Mbagala Zakhem ndani huko,Buguruni pale kimboka,mnyamala A mishkaki ya 100.kwa bonge msasani kule 500 utavimbiwa usiulize ni kitu gani umekula.
 
Haukua na nia ya kuwapa, nauli ya Mtoni kwa Aziz Ally mpaka Ilala ni shilingi 500/= bado ungebaki na shs.1500/=, umbeya tu ulikupeleka Temeke, hiloooo! Limbeya hiloooooo!
 
Haukua na nia ya kuwapa, nauli ya Mtoni kwa Aziz Ally mpaka Ilala ni shilingi 500/= bado ungebaki na shs.1500/=, umbeya tu ulikupeleka Temeke, hiloooo! Limbeya hiloooooo!
Unapajua Ilala Kivule au una bwabwaja tu??..
 
Haukua na nia ya kuwapa, nauli ya Mtoni kwa Aziz Ally mpaka Ilala ni shilingi 500/= bado ungebaki na shs.1500/=, umbeya tu ulikupeleka Temeke, hiloooo! Limbeya hiloooooo!
Limbeya lipo ndani ya shimo la mama yako la haya kubwa. Kum@ wewe.

Go to my ignore list
 
Wengi wa uswahilini ni sisi tunaovaa mashati/Tisheti za rangi za kijani/njano na suruali/sketi za rangi nyeusi!

GOD BLESS TANGANYIKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…