Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Atasemaje kama hakuna uthibitisho huo kuwa mate huongeza Kinga za mwili?
 
Hivi Akili na Maarifa Hayo hayo yako Ndio unatumia Kumtukuza Mungu Wako ? Maana Mawazo Fikra Nazo zinatenda Dhambi ukweli Ni kwamba kwa Mungu wote Mnayo dhambi Moja... Kibaya ni kwamba Mawazo yako umeweka hadharani
 
Mkuu Kila kiungo Cha mwili kina kazi zake mbona hii Iko wazi?
 
Ahsantee sana Kwa kumjibu mkuu
 
Alisema Tusifanye Uzinzi wala Uasherati Iko Hivi Kama Umeolewa uko kitandani na Mume wako au Mke wako hapo sio Dhambi kwani unatimiza Kauli ya kwamba Tukazaliane SIO MICHEZO MINGINE. Kwenye kunyonya cone ama kuingia chumvini na Mambo mengine hivyo binadam tumeongeza kiasi kwamba Ukifanya Zaidi Hutaacha Kumkufuru Mungu hata kama ni Mume wako ama Mke wako.... MUNGU ALISEMA KILA KITU TUWE NA KIASI... usizidishe au usijipunguze ila Kuwa na Kiasi Ndipo kufuru hazitokei
 
Atasemaje kama hakuna uthibitisho huo kuwa mate huongeza Kinga za mwili?
Exactly, hasemi sababu ni jambo la kihisia lisilo na hatari kiafya mpaka kutakapotokea hatari hiyo.

Mfano: Kula chakula kunaongeza kinga ya mwili, ila daktari anasema usile hovyo hovyo au kupitiliza sababu utahama kutoka kwenye suala la kinga utaingia kwenye hatari ya afya.

Point ni kuwa kila kitu si salama mazingira yanaporusu kisiwe salama. Haijalishi ni kihisia au kiafya.
 
Mbona papa aliposema mashoga waruhusiwe tu mlikuja kulalamika humu? Huoni kwamba hata shoga ana haki ya kutumia huo ukiasi unao uzungumzia hapa?
 
Umeoa au kuolewa.
Unanyonyana na mume/mke wako.
Sio dhambi.
Tuishi humo.
 
Mbona papa aliposema mashoga waruhusiwe tu mlikuja kulalamika humu? Huoni kwamba hata shoga ana haki ya kutumia huo ukiasi unao uzungumzia hapa?
Ushoga upo banned moja kwa moja. Wafiraji hawatakiwi popote katika ukristo ila hakuna popote palipokatazwa kulambwa uume na mkeo. Hayo makatazo unajipa mwenyewe na kuyatafutia uhalali. Sio jambo baya kuamua kuwa hutaki ila si jambo la kusema MUNGU hataki ni wewe ndo hutaki.
 
Mbona papa aliposema mashoga waruhusiwe tu mlikuja kulalamika humu? Huoni kwamba hata shoga ana haki ya kutumia huo ukiasi unao uzungumzia hapa?
Man 😅Shoga ni Devil's work hivi wewe ujue Mungu aliangamiza Sodoma na Gomora ila bado mtu ni shoga anakuambia anazo Haki.. Ndio maana Wanakufa Hovyo na Kwangu Shoga akifa nikama Kuku tena Mungu anisamehe Kuku anayofaida Kuliko Shoga Ni Kama Nyoka Aliekanyagwa Na Gari Akafa
 
Mbona papa aliposema mashoga waruhusiwe tu mlikuja kulalamika humu? Huoni kwamba hata shoga ana haki ya kutumia huo ukiasi unao uzungumzia hapa?

Papa hakusema mashoga waruhusiwe.

Papa alisema anaweza kumbariki mtu yoyote, hata kama ni shoga
Read btn the Lines.

Ushoga ni Ufiraji, ni dhambi . Biblia imeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…