Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

Mbona unajipinga mwenyewe?

Unadai mamlaka makubwa ya Rais ni advantage kwake kufanya vetting, hapo hapo akawarudisha vijana wale wale waliotimuliwa Kwa utovu wa nidhamu wakati wa magu, hapo hapo unasema Rais hafanyi vetting ipasavyo!!

Na nani Hasa hufanya vetting, ni Taasisi ya Urais au Rais?
 
CDF hajui, IGP hajui, DG TISS hajui, CM PSU hajui, lakini yeye anajua. Ameona Mawaziri wakituma pesa kwa Mange ili amtukane Rais, lakini wala hakumwambia. Alikaa kimya akaacha mama adhalilishwe karibu wiki nzima, halafu akasubiri leo ndo asemee jukwaani. Ina maana leo asingepewa jukwaa angeendelea kukaa kimya? Kwanini ile siku ya kwanza mama anadhalilishwa asingemwambia kuwa kuna mawaziri wanamlipa Mange kukuchafua? Aisee inahitaji degree nyingi sana za ujinga kumuelewa huyu jamaa. DAB the CDF. DAB the IGP. DAB the DG TISS. DAB the Jack of all trades but the Master of None
 

Wewe ndiye huna logic, unaona contradiction ambayo haipo.

Kama rais ana madaraka makubwa sana ya kufanya vetting, na kwa mujibu wa habari fulani, rais akawarudia vijana wale wale waliotimuliwa kwa utovu wa nidhamu, kwa sababu rais hafanyi vetting inavyotakiwa, hapo contradiction iko wapi?

Yani.

1. Rais ana mamlaka na taasisi nyingi za kufanya vetting.
2. Rais kateua watu wenye scandal ya kumchafua rais bila kufanya vetting.
3. Rais kafanya hivyo kwa sababu hana utamaduni wa kuheshimu mchakato wa kufanya vetting.

Hapo kujipinga kuko wapi? Mbona mstari wa logic umenyooka kabisa huo
 
HOJA Yako ni hafifu,

Si KAZI ya tissue kumkemea Mropokaji,

Ushahidi wa mazingira ni ukimya wa Waziri wa habari na waziri wa Mambo ya nje kushindwa kumkemea mtukanaji!!

Hilo unaliongeleaje?

Kosa la RC ni lipi ikiwa Awamu ya Tano Kuna vijana waliondolewa Kwa hujuma za namna hiyo hiyo?
 
Kwamba huoni utashi wa kuchukua lipi na kuacha lipi inategemea utashi binafsi wa kiongozi husika?

Ndio maana akikalia KITI kiongozi aliyesheheni Maarifa na maono Nchi inapiga hatua,

Akikaa kiongozi anayepuuzia vetting makini Nchi inapooza kiutendaji,

Huoni kuwa mamlaka makubwa ya Rais ndiyo mkwamo wetu kama Taifa hivyo kuibuka uhitaji wa KATIBA mpya yenye kumpunguzia Rais mamlaka?
 
Nani amesema akemewe!?
 

Kwa hiyo na weweni lowmind kiasi hicho!!!
 
Nani amesema akemewe!?
Nijibu ,kwanini Nape na Makamba hawakutoka kumkemea mange zaidi ya wiki sasa?

Kosa la RC ni lipi ?

Weka akilini pia kuwa ,Si KAZI ya tissi kumkemea Mropokaji, ni mawaziri husika.
 
Nijibu ,kwanini Nape na Makamba hawakutoka kumkemea mange zaidi ya wiki sasa?

Kosa la RC ni lipi ?

Weka akilini pia kuwa ,Si KAZI ya tissi kumkemea Mropokaji, ni mawaziri husika.
Wewe ulimkemea!?
 
Kat8ka issue ya vetting, mamlaka makubwa ya rais ni advantage, si disadvantage. Huelewi wapi?

Mbona nimekupa mfano wa Mkapa alivyomfanyia vetting tena ya phone tap kwa zaidi ya mwaka mzima John Rubambe kabla hajamteua kuongoza PSRC?

Kama tuna tatizo la kiutamaduni la vetting, rais au mamlaka yoyote ya uteuzi hawana utamaduni wa vetting, ukibadikisha katiba utaondoaje tatizo la kiutamaduni?

Kwenye tatizo la vetting, yani rais leo ana nguvu kubwa sana za kufanya vetting, lakini hafanyi. Ukimuondolea hizo nguvu za kufanya vetting ndiyo atafanya?
 
Nijibu ,kwanini Nape na Makamba hawakutoka kumkemea mange zaidi ya wiki sasa?

Kosa la RC ni lipi ?

Weka akilini pia kuwa ,Si KAZI ya tissi kumkemea Mropokaji, ni mawaziri husika.
Kiukweli kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia haswa wananchi wanatakiwa kuwa na haki ya kumtukana rais wanavyotaka bila kusumbuliwa na serikali.

Hiyo inatakiwa kuwa ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.

Ukiona nchi watu wanafuatiliwa sana kwa kumtukana rais hiyo ni alama ya nchi kujielekeza kwenye udikteta.
 
Ndio maana nasema, huo uwezo wa Rais kufanya vetting unategemeana na Rais mwenyewe,

Ikiwa Rais anapenda safari, hatulii nchini, hapati muda mrefu kukaa Ofisini, atawezaje kupata ufanisi unaotakiwa kufanya vetting?

Huoni kuwa mamlaka makubwa Kwa Rais asiye mfuatiliaji ni DISADVANTAGE?

Bado huoni umuhimu wa kupunguza mamlaka ya Rais, Ili Taasisi Imara ichukue KAZI hiyo?

Bado nabaki na msimamo kuwa, matatizo yetu, chanzo ni Katiba!!
 
As long as wote ni maccm, basi acha watukanane, wadhalilishane iwezekanavyo mashetani hayo.
 
Wewe ni MMOJA wa waumini wa DEMOKRASIA ya kumtukana Rais?

Huamini Tena juu ya tamaduni zetu na Maadili yetu ya kiafrika?
 
As long as wote ni maccm, basi acha watukanane, wadhalilishane iwezekanavyo mashetani hayo.
No,

Hao ni viongozi wetu hata sie ambao sio Wana CCM!!

Viongozi kutukanana, Si AFYA Kwa Amani yetu.
 
Ndilo jibu la swali nililokuuliza?
Umeniuliza swali umeuliza ujinga!? Huyo bashite ni wapi alimkemea huyo kimavi! Zaidi ya uchonganishi na kwanini unihoji mawaziri wawili kwani Baraza la mawaziri wapo wawili tu? Kwa kifupi huyu dickless wako unaendeleza ujinga wake wakuzaliwa nao vipo vyombo ambavyo kama ni hizo tuhuma wangezijua na biashara ingesha kitambo
 
Wizara zipi zinahusika na kutumia vyombo kudhibiti hayo?

Mbona ni zaidi ya wiki, hawasemi chochote?

Unaamini jambo serious kama hili ni la kunyamaza na kudeal nalo underground?

Kosa la RC ni lipi Hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…