Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

πŸ‘πŸ’πŸ‘‘πŸ›‘οΈ
 
Dp world washaanza kazi ,vingunguti nyumba zimeshawekwa x na zile zenye migogoro mahakamani zimeachwa kwanza pale patakuwa bandari kavu yao
 
Dp world washaanza kazi ,vingunguti nyumba zimeshawekwa x na zile zenye migogoro mahakamani zimeachwa kwanza pale patakuwa bandari kavu yao
Wanaibua HOJA dhaifu Ili tuachane na HOJA za msingi.
 
Na hii ndosolution no. One katika hatma ya nchi hii. Vijana wanauana kushinda Kwa waganga kupata chance za siasa kwakua ni mapesa. Zishushwe daraja na kuwa kazi ya kawaida Kabisa ili ifisishe hio dhana. Na Si tuu siasa posho zote nchini zisizo na tija zifutwe kazi ziwe level yenye gap dogo, italeta equality na hapo ndo mwisho wa vita. Chanzo kikuu Cha hila ni inequality ya society.
 
Chadema mnafeli sana Kila mkiongelea katiba mpya mnaongekea tume huru ya Uchaguzi na kuhusu kuibiwa kura

Kwahiyo mnadai katiba mpya Kwa maslahi ya matumbo yenu
 
Kwa hiyo na wewe unaamini kuna watendaji na washauri wa karibu wa Rais (Mawaziri) wanamtukana Bosi wao! Kama ni kweli basi inawezekana huyo Bosi wao atakuwa ana mapungufu mengi ya kiuongozi bila shaka.
Mbona ni kitu cha kawaida . Hakuna Kiongozi anaweza kupendwa na wote.Tunawasimanga na kuwateta baba na mama zetu iweje kwa mtu ambaye si mzazi wako. Atatetwa,atapewa majina mbali mbali, ili mradi tu muhusika asijue. Kama unataka kupotosha kwa ajili ya siasa hilo ni jambo lingine
 
Wanajua sana kuhamisha mijadala!!
Wameshajua watanzania wengi ni bendera kifata upepo na ndio sababu wanaendelea kufanya ufisadi na Kila baya kwa kadri wanavyo penda kwa sababu udhaifu wetu wanao mikononi kwao
 
Chadema mnafeli sana Kila mkiongelea katiba mpya mnaongekea tume huru ya Uchaguzi na kuhusu kuibiwa kura

Kwahiyo mnadai katiba mpya Kwa maslahi ya matumbo yenu
Wanaoibiwa kura Si CHADEMA ni wananchi.

Mwananchi anapochagua kiongozi Fulani, Kisha ushindi akapewa mwingine,

Aliyeibuwa ni Mwananchi,

HAKI yake ya kuchagua kiongozi amtakaye imeporwa.

Nikuulize wewe, unapata faida Gani kuiba kura?

Kwa kumalizia, register ya CDM Jina Rabbon halipo.
 
Umejiuliza kwanini Nape na Makamba hawakumshambulia au kumkemea mtukanaji Kwa wakati ilhali wao ndio wenye dhamana katika jambo Hilo?

Wao kesi yao ni mbali kabisa, ishu ya huyu Mwehu ni nyengine, mana sio mara ya kwanza. Ufahari wa maisha yake ni kudhalilisha watu
 
Aliyekuwa Katibu Mwenezi ambaye ni RC Arusha sasa, aliteuliwa siku DP World wanasaini HGA.

Ndipo uone, mtu huyu anatumika kuzima mijadala muhimu ya kitaifa isijadiliwe ipasavyo.

Tustuke.
Dp world washaanza
Picha linaanza walinzi getini wako wachina,wahindi,wasomali
Sijaambiwa nmeona kwa macho yangu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…