Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
Siyo rahisi
Jidanganye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo rahisi
Walimu ndo walikufundisha ushoga? Mbona mmekomaa sana na Walimu hadi mnaonekana wajinga? Kwani mleta mada kajitaja yeye ni Mwalimu?Kuna mwalimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?
2015 kabla ya uchaguzi mishahara ilikuwa 716,000 kwa D1Hicho kitu hakipo kwa sasa labla huko 2014 kushuka chini hata hivyo miaka hiyo mishahara ya Ualimu ilikuwa haijafika huko. TGTS D1 ilikuwa 630K.
Kuanzia 2015 watu wamekaa miaka 8 wengine 7 bado wapo TGTS D1, Samia ndio kawapandisha 2022 kwenda TGTS E1.
Kwa kifupi ...
Kufika TGTS F1 ndani ya miaka kumi itategemea na factor nyingi mno wengi uwachukua hata miaka 15.
Hili nalifahamu ndio maana nikaandika 2022 kurudi chini, mishahara ilikuwa sawaNi kuanzia 2020 kurudi chini Ajira za mwisho za Magufuli zile za December 2020 ndio Walimu wa Sayansi na sanaa zilitofautiana.
Sayansi TGTS D3 na
Sanaa TGTS D1
Huna udhibitisho kiongozi, huo mshahara kwa mwalimu mbona wa kawaida kuna walimu wamekaa tu miaka 10 na kuendelea wanakunja 1,300,000, TGTS F, akianzia degree
Nadhani wewe unachanganya na certificate
Hivi mnaopokea salary baada ya mwezi huwa mnaishi vipi asee?
Mimi nishazoea kuingiza pesa kila siku kisha naitumia nitakavyo sasa sijui wenzetu mnasavaivu vipi kudadadeki
Yaani unafanya kazi siku 30 kisha ndo unashika hela !!!!!!!
Hapana asee nilishashindwa hiyo staili ya maisha
13M anafanya kazi gan?Nawajua wanaopokea 150k na wamejenga na wanaishi na kuna rafiki yangu anapokea 13M ila ana stress na depression na ni mtu wa kulalamikia hali ngumu ya maisha kila siku
Laki 80? Yani ndio nini au laki ziwe 80?Kuna watu wanalipwa laki 80 wanaishia Dar na maisha yanasonga
Hapana bali kuna mentality flani inakuja akilini kwamba hata hii ikiisha nyingine ipoKwahiyo inawezekana kunaujanja uafanywa na mabosi katika mishahara Nini?
Wapo hata wa primary wanapokea zaid ya hapo hasa wenye TGTS F ,G,H,ISiyo rahisi
Feza wanalipwa 6m per month take home mkuuuuKuna mwalimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?
Unauhakika?Mwalimu wa sekondari au msingi hadi anastaafu hawezi kuwa na TAKE HOME ya 1.29M hapo kafanya kazi 35 years ana degree yake, meanwhile kuna mtu kaanza kazi pake TANAPA ana mwezi mmoja kazini ana certificate tuu anakunja take home ya zaidi ya 1.3M per month.
100%Unauhakika?
Akikujibu nitag😁😁Walimu ndo walikufundisha ushoga? Mbona mmekomaa sana na Walimu hadi mnaonekana wajinga? Kwani mleta mada kajitaja yeye ni Mwalimu?
Turudi kwenye swali lako. Unajua Mwalimu wa ngazi ya mshahara TGTS H ana take home ya sh. ngapi?
weka ushahidi100%
Nina dogo yupo TANESCO ana certificate ya VETA mwezi mmoja kazini ananionyesha salary slip.weka ushahidi