Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

Sawa bwana dalali
 
Kuna hizi Id kila uzi zipp masaa yote hadi usiku. Kila ukiingia unaeakuta wanapiga stori, nahisi hawa wanajiuza humu.
-Depal
-amehlo
-Antonia
-corrsasico
-half american
-Wengine nikikumbuka nitawataja
Tunasubiri update ya mkeka [emoji3]
 
Wewe umejuaje kama wanashinda mtandaoni ikiwa wewe hushindi huko?
Je, kama muda unaokuwa online ndio na wao wanakuwa online why useme wanashinda mtandaoni?
 
Watu washatega mitego Yao Hela zinaingia tu kwenye account na tigo pesa .then wapo humu masaa yote wanaperuzi unahisi kama hawana kazi kumbe wanakuchora tu
 
Kuna huyo
Lenie
Palina
Nk
Wote hao ni kujichatisha na wanaume tu humu always. Sijui kama wanakumbuka kufua chupi
Wivuuuu

Kama huna wa kuchat nao, hauko intouch na watu humu, basi kakate nyasi uuze huko upate pesa.

Koma kufatilia maisha ya watu mjomba
Mjini hapa, utalishwa fish wakati we mwenyewe fish
 
Wivuuuu

Kama huna wa kuchat nao, hauko intouch na watu humu, basi kakate nyasi uuze huko upate pesa.

Koma kufatilia maisha ya watu mjomba
Mjini hapa, utalishwa fish wakati we mwenyewe fish
Halafu kajuaje ninaochat nao ni wanaume??

Au anawafukuzia na yeye anataka wamchatishe
 
Halafu kajuaje ninaochat nao ni wanaume??

Au anawafukuzia na yeye anataka wamchatishe
Mwanaume kuwa na wivu, kufatilia na vitu usivyohusika navyo, ni aina fulani ya wazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…