Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

Umofya Umofya na kwako mkuu

Nikiwa mmoja wa ofsa wasemaji wa wanaoshinda mtandaoni, asilimia kubwa kazi hatuna.

Tunaishi maisha ya kulenga Kwa manati.Pia Kuna wengine kazi zao ni mtandaoni

Wengine kazi zao zinaendelea wakiwa mtandaoni haiwapi tabu kufanya kazi na kuwa mtandaoni

Itaendelea
😂😂😂😂😂😂
 
Nakupa mfano wa kazi inamfanya mtu awe online muda wote,
Kwa mfano mlengaji wa magari yaliyotumika Tanzania na mostly makazi yake ni Dar au mwanza, huyu kitendea kazi kikubwa ni simu, yaani madalali wakipost gari ukiielewa kazi ni kwenda kukagua wewe na fundi wako na mnaenda na gari, pale mtabargain bei utaangalia ina vipengele gani, gari utaichukua labda kuna marekebisho ya gearbox, kumwaga oil, kubadili bonet au mwamba, kufunga shockup mpya au kufunga android radio, au kunyoosha bodi na kupiga mkono mmoja rangi smart na put isiwe nyingi, kuweka tairi mpya, au kurekebisha engine hapa wewe unakua pembeni unakula nyama choma huku ukiwa online, labda ulinunua hiyo gari kwa kulenga kwa milioni tano plus marekebisho ubaoni unaiweka kwa milioni 8 hapo labda unafukuzia hata milioni moja unusu, sasa unawapa kazi madalalari waipost mitandaoni huko labda vijiwe vya kinondoni vijana, chipolopolo, mlimani, mikumi, lumumba kote huko utasikia simu tu zinaita watu wanakuja kukagua gari ataefika bei basi anapewa gari na faili anakuwekea pesa kwenye akaunti yako, hasa mtu wa namna hii asiwe online ili iweje wakati anategemea biashara awe hewani ili afanye business,
 
Haya kuna mtu yeye anafanya biashara za kuagiza mizigo mbalimbali China , dubai, india hapo anaagiza mizigo yake tu hapo anatakiwa awe online afanye order, alipe, atrack mzigo uko wapi, hadi unafika wakati huo anakua kalala au kakaa anasubiri mzigo na anachungulia jf kidogo huku anatafuna big g taratibu na maji makubwa pembeni, mizigo ikifika atajulishwa halafu ataenda kulipa atoe mizigo yake halafu ataanza harakati labda za kupost au kufanya delivery, hivo lazima awe online
 
Wewe ambae unataka kua offline endelea hivo hivo lakini wengine michongo yao inawalazimu awe online na asitoke nje ya mtandao na anakua anapiga pesa kama kawaida, sasa wewe fanya yako na wengine wafanye yao
 
Unaweza kukuta mleta mada ndio kapata kazi wiki iliyopita tu kwenye Duka la Kanjibai Kariakoo,full kutumwa mpaka kuwapeleka Shule kina Sunche na Kapeto,mara atumwe Giligilani Kisutu....Ndio maana ana shangaa kuona mbona watu wengine wapo free sometimes.
 
Atajijua mwenyewe, mjini mipango inaendelea kama kawaida
 
Unaweza kukuta mleta mada ndio kapata kazi wiki iliyopita tu kwenye Duka la Kanjibai Kariakoo,full kutumwa mpaka kuwapeleka Shule kina Sunche na Kapeto,mara atumwe Giligilani Kisutu....Ndio maana ana shangaa kuona mbona watu wengine wapo free sometimes.
Pita kule
 
Ngoja tukufungulie mbeengo ila online napo kunaofiissi nnyingi nilikaa mbali na smartphone mwezi mzima nikanenepa kabisaa
 
Back
Top Bottom