Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Nadhani ni swala la kwenda nje utajua kazi za hovyo ni kazi gani mkuu...na wanaofanya sio kwamba wamependa ni kuwa inawalazimu kufanya hivyo ili maisha yaende..Kazi za hovyo ndo kazi gani
Kwa mfanoUkifika USA πΊπΈ kazi za kumwaga tu broo, usitegemee kazi ikufate apo kwa Bibi ako, ukishafika USA Kuna wakongwe wanakupa njia za kupata makaratasi
Kuchamba wazee wanalipwa wastani wa 135 kwa siku...msosi...na pa kulala plus free internet.Nadhani ni swala la kwenda nje utajua kazi za hovyo ni kazi gani mkuu...na wanaofanya sio kwamba wamependa ni kuwa inawalazimu kufanya hivyo ili maisha yaende..
Na mimi ndio najiuliza. Utapata kazi ya maana au unakuwa unaunga unga tu?Yani upite njia za panya, Alafu utegemee ukifika U. S. A, ule maisha ?? [emoji855][emoji855]
Huko kuunga Unga ni within six months tuu baada ya hapo utakuwa ushafanikiwa kupata papers Sasa unakuwa legallyNa mimi ndio najiuliza. Utapata kazi ya maana au unakuwa unaunga unga tu?
Usichague kazi mjombaNadhani ni swala la kwenda nje utajua kazi za hovyo ni kazi gani mkuu...na wanaofanya sio kwamba wamependa ni kuwa inawalazimu kufanya hivyo ili maisha yaende..
Ukifika utapewa njia, unataka makaratasi ya nini ilihali hata passport hunaKwa mfano
Makaratasi yanapatikanaje?(kwa faida ya wengi)
Mbona Worldremit walisha phaseout huduma zao kwa watumao pesa Tanzania?Juzi tu kanitumia $2300 kwa worldremit
IpoMbona Worldremit walisha phaseout huduma zao kwa watumao pesa Tanzania?
Kwa sasa nipo ndani ya bahari ya pacific...ni mTanzania ninayemiliki meli ya mizigo.Ukifika utapewa njia, unataka makaratasi ya nini ilihali hata passport huna
Sawa mjomba sichagui kazi mjomba nafanya yeyote...Usichague kazi mjomba
Unafanya kazi za ufundi zipo kibao...Kuchamba wazee wanalipwa wastani wa 135 kwa siku...msosi...na pa kulala plus free internet.
Wanalipaje?Unafanya kazi za ufundi zipo kibao...
Mkuu mwezi huu machizi wametibuka hasa!!!Yani upite njia za panya, Alafu utegemee ukifika U. S. A, ule maisha ?? π€π€
Long time mpwaHapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.
Process za kutoka bongo direct to USA [emoji631] ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA [emoji631]
Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na passport yako tu mkononi kama unavyoenda Kenya na Burundi tu hawama mambo mengi sijui wakuhoji nn amna
The distance in mile from Bahamas mpaka Miami Florida kwa upande wa marekani ni almost mile 25 tu ni kama dar to chalinze.
Pale Bahamas utawakuta wajuba kutoka Mexico Wana boti zao unatoa kama dollar 500 ivi wanakuvusha kwa boti kimagendo lakini, ukifika tu pale mwambaoni wanawamwageni afu nyie mnakimbilia lami barabarani tayari uko ndani ya USA [emoji631].
MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.
N. B. more is lost by indecision than by wrong decisions.
Nimefanya kazi hizo muda kidogo.Wanalipaje?