Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

Sambamba na mada naomba kwa anayejua utaratibu wa wanaoshinda USA Residence Visa Permit 2024 niliomba so matokeo watatoa next month so kwa waliowahi kuchaguliwa huwa mambo yakoje? Mean Visa ndo walisema kwa watakaoshinda watashughulikia wao waombaji na je, mambo mengine ya usafiri, maladhi na kupata kazi huko inakuwaje?

Thanks
 
Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.

Process za kutoka bongo direct to USA [emoji631] ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA [emoji631]

Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na passport yako tu mkononi kama unavyoenda Kenya na Burundi tu hawama mambo mengi sijui wakuhoji nn amna

The distance in mile from Bahamas mpaka Miami Florida kwa upande wa marekani ni almost mile 25 tu ni kama dar to chalinze.

Pale Bahamas utawakuta wajuba kutoka Mexico Wana boti zao unatoa kama dollar 500 ivi wanakuvusha kwa boti kimagendo lakini, ukifika tu pale mwambaoni wanawamwageni afu nyie mnakimbilia lami barabarani tayari uko ndani ya USA [emoji631].

MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.

N. B. more is lost by indecision than by wrong decisions.
Long time mpwa
 
Back
Top Bottom