Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili

 
 
Yaan kwa tafsiri hii
[emoji117]mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru[emoji26]
Hizi VAT umeziweka kama vile haziwi claimed.
 
Kitu cha 30000 muuza duka anajuaje kuwa faida yake ni 1000?? Na kwamba asipotoa risiti faida yake itakuwa kubwa kwa mtindo gani?
Unanitia wasi wasi na uwelewa wako jinsi ulivyokuwa unatetea Kodi za TRA nilijua labda unailewa biashara kumbe haujui chochote

Mfanya biashara yoyote Kila bidhaa aliyonayo dukani kwake anajua alinunua shs ngapi na ili apate faida auze shs ngapi

Let's say umenunua dazeni ya viatu kwa tsh 240000 Ina maana Kila pea umenunua kwa tsh 20000 Sasa ili upate faida si unatakiwa Kila pea uuze zaidi ya elfu 20?

Kama umeuza hiyo pea kwa elfu 22000 ukitoa risiti faida yako itakuwa 2000 - VAT kama haujatoa risiti hiyo elfu 2000 yote inakuwa faida yako
 
Hesabu zake azi make sense

Kwa upande wa manunuzi yake kama faida yake ni 1000 katika 30000 ina maana kanunua 29000.

Kwenye hiyo kuna VAT kalipia (29000*118)/100=24580 round bei yake ya mzigo bila ya VAT. Kwa maana hiyo anawadai TRA VAT ya 4420.

Sasa yeye kama anataka faida ya 1000 jumlisha bei ya kununua 24580 = atauza kwa tsh 25580 plus 18% VAT ambayo ni tsh 30185 roughly. Katika hiyo VAT ya TRA ni 4605

Sasa kwa sababu na yeye anawadai VAT ya kununulia atakacholipq ni 4605-4420=185 hiyo ndio hela anayotakiwa kuwapa TRA tsh 185 tu.

Ukiwa na software kama SAGE it does all that for you, otherwise manually unatakiwa uwe na TAX account ledger kwa sababu tarehe ikifika inaweza ikawa wewe ndio unawadai wao VAT.

VAT aitakiwi kumuathiri mfanyabiashara issue labda ni purschading power akiweka VAT mzigo unachelewa kwenda.

Tatizo la msingi ni hiyo taarifa iliyopo kwenye main topic it’s too generic kwa sababu nina uhakika sio bidhaa zote zipo subjected kwa viwango sawa vya hizo kodi na hapo ndio kwenye uonevu bila ya kufahamu hizo sheria husika wanazotumia.
 
Ndio maana nimemshangaa hapo, how mtu akitoa risiti anakosa faida?
 
Mzee baba, wewe itakuwa ndio hujui unalozungumzia, aliyekwambia VAT analipa mfanyabiashara ni nani??
 
Ndio uelewe watu wanaposema wafanyabiashara wengi hii nadharia ya kodi awaielewi.
Huyo mfanyabiashara atakuwa hajasajiliwa na VAT. Ukisajiliwa na VAT itakupa shida sana, hasa kwenye kujua ending inventory yako, itaonekana tu wazi uliimport mzigo wa maana na Store hauna mzigo wa maana, hapa unajulikana wazi kuwa uliuza na hukutoa risiti.
 
Ndio wanapojikanyaga hapo kuuza bila ya kutoa receipt siku wakienda kufanyiwa audit hesabu azi match.

Mziki unaofuata wa kujaribu kukwepa kodi kwa mujibu wa sheria utasikia TRA wanadai kodi vibaya sana, sijui wamechukua hela kwenye account yangu.
 
Kwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa.

Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;

View attachment 2474370

Wanasema mama asiyelipa kodi uuko kazini. Ayajulie wapi madhila ya walipa Kodi?
 
Ndio wanapojikanyaga hapo kuuza bila ya kutoa receipt siku wakienda kufanyiwa audit hesabu azi match.

Mziki unaofuata wa kujaribu kukwepa kodi kwa mujibu wa sheria utasikia TRA wanadai kodi vibaya sana, sijui wamechukua hela kwenye account yangu.
Miaka fulani nilienda Mwanza kuna kampuni ilihitaji Mhasibu, nikaenda, kwanza naanza kuulizwa nawezaje kukwepa kodi, mi nikashtuka kidogo.

Watanzania wanaona fahari kukwepa kodi.
 
Miaka fulani nilienda Mwanza kuna kampuni ilihitaji Mhasibu, nikaenda, kwanza naanza kuulizwa nawezaje kukwepa kodi, mi nikashtuka kidogo.

Watanzania wanaona fahari kukwepa kodi.
Bora tukwepe Kodi maana tunalipia wanafaidi wachache Tena mwaka huu ni mwendo wa biashara za magendo tu
 
Miaka fulani nilienda Mwanza kuna kampuni ilihitaji Mhasibu, nikaenda, kwanza naanza kuulizwa nawezaje kukwepa kodi, mi nikashtuka kidogo.

Watanzania wanaona fahari kukwepa kodi.
Hahahahah hio ndo quality namba moja ya mhasibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…