Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili


Ila una nyodo

Utakua muhaya
 
Ushuru wa gari ndo unaleta hasira sana bei ya gari 40m kodi wanataka 50m
Ushuru wa gari mi huwa nishajiwekea ni 110% ya CIF price. We ukiona gari ni dollar 5000 basi andaa dollar 5500 zingine kwa ajili ya kodi. Ndio mfumo wa kodi wa nchi yetu ulivyo.

Sishangai kuona mtu anaagiza gari analitengenezea IT documents kisha analirudisha bongo. Ni upuuzi mno yani ukifatilia huo mfumo wa kodi wa kibongo.

Halafu hizo kodi zinazokusanywa kionevu basi zingekuwa zinafanya maendeleo yanayoonekana. Watu wanagawana tu kinyemela hela wanatia kwenye anasa za magari na mijumba ya kifahari.
 
watu wanavokwepa kodi tusiwalaumu, yani bandarini kuna hadi%inaenda kujenga reli inamaana mikopo wanayokopea ujenzi wa reli inaenda wapi ipo siku wataweka na % ya kupeleka tanesco
 
Bila wafanyabiashara wote kuingizwa kwenye mfumo wa kodi,watu wataendelea lipa kodi tu
 
watu wanavokwepa kodi tusiwalaumu, yani bandarini kuna %inaenda kujenga reli inamaana mikopo wanayokopea ujenzi wa reli inaenda wapi ipo siku wataweka na % ya kupeleka tanesco
Hahahahahah yani Bongo tunapigwa left n right
 
Ha ha ha .....
Uko serious kanisa Yaani T.R.A wakucharge V.A.T afu urudi tra kuwadai wakurudishie hiyo vat yako[emoji23]

UNAZUNGUMZIA NCHI HII AU BURUNDI[emoji1787]
 
Umeongea mengi ila hujatusaidia! Jaribu kuwa problem solver siyo problem creator
Ameongea kinadharia zaidi,

Yaan serikali ichukue Kodi Yao,
Afu eti sheria inakuruhusu urudi kuwadai TRA Kodi yako.

Ha ha ha...utakua ujipendi Wewe[emoji23]
 
Kwaiyo ukiclaim T.R.A wachukue pesa wakurudishie. Ha ha ha....unachekesha[emoji1787]
 
sheria ya vat tuliambiwa anyelipa kodi hii ni mlaji wa mwisho yaani mtumiaji hao wengine wote ni wakusanyaji
Nowdays haiko hivyo,
Mi nauza JUMLA na rejareja bado v.a.t nalipa kote kote, sahv wamesema Hadi waagizaji nao uko uko bandarini v.a.t inachukuliwa
 
Serikali ijitahidi ifufue viwanda baadhi ya bidhaa zianze kupatikana tu hapa nchini aisee
Sasa kama nguo tu kodi namna hio si balaa yaani hata kuvaa nguo iwe anasa 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…