Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

Ndio mkuu upo sahihi sana, ndio maana nimeeleza iPhone wanatengeneza toleo moja tu la simu, Ahsante kwa kuweka msisitizo.
 
Jibu ni rahisi, wateja wa hizo product siyo soko la Africa.

Ukielewa mishahara wanayolipwa watu kwa saa first world basi hayo ni mambo madogo sana.

Shida ipo kwa Mtanzania anayeungaunga ukitaka bidhaa za apple huna akili kichwani, sisi tubaki na Samsung, Infinix na Oppo yetu.

Mambo mengine ni kuiga tu lakini ukweli ndio huo hizo ni product kwa ajili ya first world watu wanalipwa mishahara vizuri.
 

Aisee nimecheka, jinsi ulivowasilisha mada mara sijui kidude cha kusugulia nyanya dah

Thanks for update btw bidhaa kibao hapo sikuwa nazijua, sijawahi tumia tena apple since iphone 7 tangu nitumie bila kukosa kuanzia iphone 4, na sijui kama nitarudi huko
 
Umeandika utumbo
 
Samsung kuna simu wanatumia mediatek, Nokia kuna simu wanatumia SPD, ulishasikia iPhone anatumia mediatek au SPD?

Apple alikuwa anatumia intel kwenye computer zake hivi sasa ana processor zake za M series, jamaa wapo vizuri...
 
Nikiwa na fuba sitaona shida kuvinunua hivyo, ila kwa uchumi huu wa kati hapana kwakweli.

Acha tukomae na Samsung tu.
Yaani ununue simu, ununue usb, ununue kichwa cha chaji, ununue cover alooo yaani unakamilisha simu mdogomdogo kama unajenga vile
 
[emoji16][emoji16]
 
Security 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…