Mnaotumia Masaa Mengi Kujadili Mpira, Mnapata Dola Ngapi kwa Siku?

Mnaotumia Masaa Mengi Kujadili Mpira, Mnapata Dola Ngapi kwa Siku?

kiukweli hata sisi tumesikitishwa sana ila ndoivo hamna
Screenshot_20250308-205613_Instagram Lite.jpg
 
Na ndiomaana serikali inatumia nguvu nyingi kuwekeza kwenye mpira maana ndio njia ya kuwashika wajinga wasiopenda kujadili mambo ya msingi, mpira unatukima kuwasahaulisha mambo ya msingi ukiachana na dini ambayo ndio tatizo la pilo na siraha ya wanasiasa kuwatawala wajinga kwa kulainisha imani yao kupitia dini na viongozi wa kidini.

Mpira+dini ni siraha ya kisaikolojia ya kuwatawala wapumbavu.
 
Fanya unachokipenda ili uishi kwa furaha tu ,mimi ni bora ya mpira kuliko demokrasia..

Duniani haujakuja kumfurahisha mtu ,utakufa na kuzikwa peke yako.
 
Nakufananisha na ID Moja hivi ilikuwa unapenda sana kutumia maandiko ya Bible sasa siioni.
 
Wengi wao ni watu wenye IQ ndogo na wajinga! Pita kwenye vijiwe mbalimbali utathibitisha!
 
Binafsi sioni baya kwao kujadili hayo mambo japokuwa Mm sio mpenzi wa ligi hii. Ila mijadala ya mpira kwa hapa bongo imekaa kipumbavu
 
Nakufananisha na ID Moja hivi ilikuwa unapenda sana kutumia maandiko ya Bible sasa siioni.
Nazifuata tu nyayo za Yesu. Yesu alipoongea na watu, mara nyingi alinukuu Maandiko. Kwa mfano Katika Mt 4 4 anasema: "Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu." Hapo alinukuu Kum 8:3.
Bible ndoo taa ya miguu yetu, ndio kitabu kinachotupa mwongozo wa jinsi ya kuenenda.
 
Ubaya uliopo ni kwamba wanapoteza muda mwingi bure. Muda ni mali.
% kubwa ya watanzania, muda sio mali.
Bodaboda wapo kijiweni wanasubiri abiria huku wanapiga story za mpira, hapo utasema wanapoteza muda?
Kuna siku saba, siku moja tuu tena ya masaa kadhaa ndo kupoteza muda?
N wangapi kazi zao zinawaruhusu kukaa na kupiga story, hapo utasema wanapoteza muda?

Binafsi huwezi kunikuta kwenye hizo mada n kwa sababu Mm sio mpenzi wa ligi ya Bongo, ila sio kwa sababu muda ni mali.
 
Back
Top Bottom