Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,679
- 2,123
- Thread starter
- #121
Huu mjadala umemkasirisha sana shabiki mkubwa wa mpira GENTAMYCINE. Kuna mtu amemuita aje hapa, amemjibu kwa matusi ya nguoni. Unaonaje tukiishia hapa, mkuu. Biblia inasema tuwe macho. Shetani asije akawafanya na wengine wakajirusha chini kutoka ghorofani kwa hasira kwa sababu wamekosa points za kutetea ushabiki wao. Wanaojirusha sio machizi. Wanadanganywa na Ibilisi kwamba wakijiua aibu yao ya kufungwa magoli itaisha, kumbe wanajipeleka jehanam.Kwahio huyo kujiua ndio wote wanajiua ? Kwahio tuache / tukataze watu kuamiani au kuwa na Imani sababu kuna watu wanajiunga kwenye Cult kama kule Kenya ? Uchizi wa mtu mmoja (mgonjwa hauwezi kusababisha kitu kionekane hakifai)
Huyo kajirusha sababu ya uchizi wa ushabiki hajajirusha sababu anaongelea siku nzima kuhusu soka huenda angeongea angepunguza hizo hasira kuona ni mambo ya kawaida (kuna watu wanakunywa sumu na kujiua sababu ya mapenzi mbona hatushauri mapenzi yapigwe marufuku) ?
Hivi unajua kuna nchi ziliweka silaha chini na kuacha kupigana ili kwanza wakaangalie soka ? Watu waache kuongelea mpira ili waongelee nini ? (Siasa)!!! au wakeshe (Makanisani)!!! Sababu alternative kwamba waende kufanya uzalishaji ndio hivyo nakwambia as a country tumeshindwa kutumia nguvu kazi iliyopo (kuwatengeneza ajira zenye ujira) na kuhusu kwamba ordinary minds discuss events (its a step from discussing people) na kuhusu ideas, worldwide ni wachache sana wanaofanya hivyo..; na hata kusali from morning till dawn that ain't discussing ideas..., thus its like a Pot calling a Kettle Black.
1 Petro 5:8 BHN
Muwe macho; kesheni! Maana adui yenu, Ibilisi, huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mawindo.