Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kila kinachojadiliwa kinaleta material things kama fedha, au mali, usisahau kuna emotional satisfaction.Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote?
Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali muhimu. Wale wanaonufaika zaidi na mpira ni wachezaji, makocha, watangazaji, na wadhamini—si mashabiki wanaopoteza masaa kwenye mabishano yasiyo na tija.
Biblia inasema: “Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya. Kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya Bwana.”(Waefeso 5:16-17 BHN). Badala ya kutumia muda mwingi kuzungumzia mpira bila faida, ni vyema kufikiria jinsi unavyoweza kutumia muda wako kwa njia yenye manufaa zaidi, kama kujifunza ujuzi mpya, kuwekeza, au kuunda fursa za kipato. Hebu jiulize tena:
👉Baada ya kubishana kuhusu mpira, akaunti yako ya benki itaongezewa pesa?
👉Je, mjadala wako wa mpira utalipia bili zako za mwezi huu?
👉Dakika unazotumia kubishana kuhusu mpira zingekuletea faida gani kama ungezitumia kwa kazi inayokuongezea kipato?
👉Wachezaji unaowatetea wanajua hata jina lako?
👉Kama ungetumia muda huo kujifunza ujuzi mpya, ungekuwa mbali kiasi gani sasa?
Si afadhali hata ungetumia muda mwingi kujadili mambo ya rohoni ili ujizoeze kuwa na utauwa? Utauwa una manufaa ya kila aina; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye(1 Timotheo 4:7-8).
Huu muda wa kuanzisha thread hapa JF unautoa wapi na unapata faida gani.Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote?
Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali muhimu. Wale wanaonufaika zaidi na mpira ni wachezaji, makocha, watangazaji, na wadhamini—si mashabiki wanaopoteza masaa kwenye mabishano yasiyo na tija.
Biblia inasema: “Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya. Kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya Bwana.”(Waefeso 5:16-17 BHN). Badala ya kutumia muda mwingi kuzungumzia mpira bila faida, ni vyema kufikiria jinsi unavyoweza kutumia muda wako kwa njia yenye manufaa zaidi, kama kujifunza ujuzi mpya, kuwekeza, au kuunda fursa za kipato. Hebu jiulize tena:
👉Baada ya kubishana kuhusu mpira, akaunti yako ya benki itaongezewa pesa?
👉Je, mjadala wako wa mpira utalipia bili zako za mwezi huu?
👉Dakika unazotumia kubishana kuhusu mpira zingekuletea faida gani kama ungezitumia kwa kazi inayokuongezea kipato?
👉Wachezaji unaowatetea wanajua hata jina lako?
👉Kama ungetumia muda huo kujifunza ujuzi mpya, ungekuwa mbali kiasi gani sasa?
Si afadhali hata ungetumia muda mwingi kujadili mambo ya rohoni ili ujizoeze kuwa na utauwa? Utauwa una manufaa ya kila aina; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye(1 Timotheo 4:7-8).
Dubai kule aliko Basha wako na unakoenda Kupigwa Bomba 'Unyabengani' Kwako?Pole sana. Wenye hela hawana kelele nyingi. Saa hizi wamepumzika zao Dubai.
Hujui kuwa huyo Mpumbavu pia ni 'Mfumuliwaji' Mkuu?Wewe unayetumia muda mwingi kujadili dini, unapata USD ngapi kwa siku?
Kwahiyo ukiwa 'Unafumuliwa' haya ndiyo huwa Malipo yako?True Value = Knowledge + Godliness
Eternal Benefit > Daily Earnings
Hujawahi kuacha kunitajataja utadhani nilikuwa Mumeo au Hawara yako huko nyuma sasa nimekuacha hivyo una Hasira nami au unatamani urejee tena Kwangu.Mzee wa kuuza vitabu vya forex
CC: GENTAMYCINE
Una stress!Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote?
Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali muhimu. Wale wanaonufaika zaidi na mpira ni wachezaji, makocha, watangazaji, na wadhamini—si mashabiki wanaopoteza masaa kwenye mabishano yasiyo na tija.
Biblia inasema: “Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya. Kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya Bwana.”(Waefeso 5:16-17 BHN). Badala ya kutumia muda mwingi kuzungumzia mpira bila faida, ni vyema kufikiria jinsi unavyoweza kutumia muda wako kwa njia yenye manufaa zaidi, kama kujifunza ujuzi mpya, kuwekeza, au kuunda fursa za kipato. Hebu jiulize tena:
👉Baada ya kubishana kuhusu mpira, akaunti yako ya benki itaongezewa pesa?
👉Je, mjadala wako wa mpira utalipia bili zako za mwezi huu?
👉Dakika unazotumia kubishana kuhusu mpira zingekuletea faida gani kama ungezitumia kwa kazi inayokuongezea kipato?
👉Wachezaji unaowatetea wanajua hata jina lako?
👉Kama ungetumia muda huo kujifunza ujuzi mpya, ungekuwa mbali kiasi gani sasa?
Si afadhali hata ungetumia muda mwingi kujadili mambo ya rohoni ili ujizoeze kuwa na utauwa? Utauwa una manufaa ya kila aina; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye(1 Timotheo 4:7-8).
kwamba kuna binadamu anaweza kuishi bila basic needs (hao wangekuwa hawapati mlo wangeshakufa kitambo) After basic needs kila mtu ana mahitaji yake binafsi na dunia ya leo hakuna correlation between hard work and getting paid....; na sijasema kuangalia nimesema kuongelea mwingine hata akiangalia anaangalia ili baadae apate nondo za kubishana na wenzake....Anayepata dola na kuzitumia kuangalia mpira, pembeni ya kochi lake hapakosekani juice au karanga au supu. Huyu mwingine anajadili bila kutia chochote kinywani.
Nafikiri hujaelewa vizuri walengwa(target audience) wa mada hii. Walengwa ni wale wanaolalamika kwamba maisha ni magumu, pesa hamna, wanakula mlo mmoja kwa siku, watoto wamefukuzwa shule kwa kukosa ada... au kwa ujumla walala hoi. Sasa hawa badala ya kutumia muda wao kutafuta njia au kufanya shughuli za kujikwamua kutoka katika adha hizo, wanapoteza muda kujadili mpira. Majadiliano ambayo hayawaongezei hata senti, badala yake yanawaongezea stress pale timu zao pendwa zinapofungwa. Kwenye piramidi yako, hao bado hawajavuka hiyo ngazi ya basic needs.kwamba kuna binadamu anaweza kuishi bila basic needs (hao wangekuwa hawapati mlo wangeshakufa kitambo) After basic needs kila mtu ana mahitaji yake binafsi na dunia ya leo hakuna correlation between hard work and getting paid....; na sijasema kuangalia nimesema kuongelea mwingine hata akiangalia anaangalia ili baadae apate nondo za kubishana na wenzake....
View attachment 3264493
Na hapo kwenye feeling of accomplishment timu yake ikishinda na yeye ni mshindi ikishindwa anaitetea na yupo na wenzake /marafiki hence he / she belongs as you might have gathered humans are social beings..., kama wewe unavyoweza kushinda na marafiki zako mnaimba na kujadili kitabu kile kile day in day out, year in year out (ingawa hakijabadilika) to others eyes might not be time well spent...., ila ndio hivyo from your perspective that is where you belong and you are building a better future (ingawa others might judge you differently)
To each their own...
Kama unamuona kipofu anaenda kutumbukia shimoni halafu unamwacha tu kwa madai kwamba hutaki kuingilia uhuru wa wengine, basi wewe una viashiria vya kukosa upendo, na kutowajali majirani zako, mkuu. Biblia yangu inanifundisha nimpende jirani yangu kama ninavyojipenda mwenyewe(Mk 12:31).uko ni kuingilia uhuru wa wengine.
Kila mtu afanye kile akipendacho na kimleteacho furaha.
una viashiria vya ubinafsi mkuu
hobbies zimetofautiana, wewe utapenda kusoma bible, mimi nitapenda kutizama mpira wa miguu na yule atapenda kusikiliza muziki na kuucheza pia etc.Kama unamuona kipofu anaenda kutumbukia shimoni halafu unamwacha tu kwa madai kwamba hutaki kuingilia uhuru wa wengine, basi wewe una viashiria vya kukosa upendo, na kutowajali majirani zako, mkuu. Biblia yangu inanifundisha nimpende jirani yangu kama ninavyojipenda mwenyewe(Mk 12:31).
Unaona ni busara baba kutumia muda mwingi kwenye hobbies wakati familia yake inakula mlo mmoja kwa siku? Wakati watoto wake wanafukuzwa shule kwa kukosa ada? Mada yangu inawalenga watu hao. Wanaolalamika kwamba maisha ni magumu, pesa hamna... lakini wanatumia muda mwingi kwenye ushabiki badala ya kufikiria njia za ku-meet basic needs.hobbies zimetofautiana, wewe utapenda kusoma bible, mimi nitapenda kutizama mpira wa miguu na yule atapenda kusikiliza muziki na kuucheza pia etc.
hatuwezi kufanana wote, kwa kuwa kila mtu ana ubongo wake.
miili ya wanadamu siyo computer useme itawekewa software moja