Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Inategemea unatumia tecno gani?

Kuna tecno ni bora kuliko Samsung
Ni swala la toleo na umri wa toleo
Tuzolinganishe kwa matoleo yake sio ulete tecno latest afu Samsung ukute s6 ya mwaka 2007
 
Acha kuokota simu vichochoroni, nunua simu mpya. Hata hiyo Tecno ungenunua mpya usingeleta ngonjera.
 
Niko Infinix inaniletea mauza mauza ila hii ndio yangu wa mwisho kati ya jamii za akija Tecno.

Baada ya hapa mimi nahamia kwenye kwenye simu used za DUBAI hasa pixels na Samsung
 
Hiyo pesa uliyonunulia simu ya tecno bora ungenunua mbunye
 
Inategemea unatumia tecno gani?

Kuna tecno ni bora kuliko Samsung
Ni swala la toleo na umri wa toleo
Una kichaaa! Lete hiyo Tecno yako latest naiweka na Samsung ya mwaka mmoja nyuma let's say s22 na camon 20 yako[emoji23]

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Miliki simu kutokana na uwezo wako sio kutafuta status unakuta mtu ana miliki iphone au Samsung Galaxy S10 halafu ela ya bundle hana unakuwa I make sense Tena unakuta unamuomba mwenye Tecno ,itel au infinix eti niwashie wifi
 
Boss wangu anatumia Tecno halafu mi niamshe na Google Pixel 4πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

kanjibai ataniua
 
Mimi natumia Tecno spark 8 c, IPO safi tu camera safi,mtandaoni safi, chaji safi nainafanya shughuli zingine mbalimbali vizuri kabisa
 
Natumia Tecno spark 8C ipo vzr hasa upande wa camera na charge ayo mauza uza cjawai ya ona.
 
Miliki simu kutokana na uwezo wako sio kutafuta status unakuta mtu ana miliki iphone au Samsung Galaxy S10 halafu ela ya bundle hana unakuwa I make sense Tena unakuta unamuomba mwenye Tecno ,itel au infinix eti niwashie wifi
Samsung galaxy S10 kwa mwaka huu 2023 ni simu ghali kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…