Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Msikariri maisha
Someni hoja muelewe

Huwezi kulinganisha Tecno teleo mama ya 2023 na Samsung mid range za miaka 10 iliopita
Kwa nini ufananishe simu zilizoachana miaka 10 yote hiyo?
Maybe ukisema kwa Sasa ukifananisha Samsung Galaxy A13 na Tecno Camon 19 Pro basi hapo Tecno ndio nzuri zaidi na zote ni simu za mwaka 2022
Ila sio ufananishe Tecno na simu za Samsung za miaka 10 iliyopita inakuwa sio fair

Samsung yupo vizuri kuliko Tecno kuanzia hardware hadi software. Hata hawapaswi kufananishwa ila kuna baadhi ya model Tecno ana simu nzuri kuliko model chache za Samsung za bei rahisi mfano Tecno Camon 18 ni nzuri kuliko Samsung Galaxy A13 licha ya kuwa na bei sawa
 

Tecno ya laki moja haiezi kua sawa na ya laki 2,3,5 nk.
 
Ni ushamba wa kibongo tuh mlionao japo ctumii ila nazijua na nilishawai zitumia.kila cm una sifa zake tecno f1 yenye ram mb 500 cjui haiezi kua sawa na tecno yenye ram 4 ..
 
Msikariri maisha
Someni hoja muelewe

Huwezi kulinganisha Tecno teleo mama ya 2023 na Samsung mid range za miaka 10 iliopita
Asee ko tecno ya 2023 ili imzidi Samsung inabidi uilinganishe na Samsung ya miaka 10 nyuma
 

Asee ko tecno ya 2023 ili imzidi Samsung inabidi uilinganishe na Samsung ya miaka 10 nyuma

Tatizo lenu mnaujua ukweli ila mmekariri au hamjaelewa mada kwasababu tu mmeona mstari unaosema “kuna tecno bora kuliko Samsung”

Unaweza kukuta mtu anatumia iphone 6 lakini anaponda balaa Tecno spark go 2022......... yaani kwake brand ya Tecno ni kichefuchefu

Hapa hatulinganishi simu kwa miaka iliotoka(Samsung atashinda) hapa watu wanaongelea kwamba hakuna Tecno inayofaa kutumika wakati wanatumia Samsung za miaka ya nyuma na wanajiona bora kuliko Tecno za kisasa zilizo boreshwa

Mleta mada kaleta sifa za Tecno phantom wakati tupo mwaka 2023, ndio tukamwambia atafute hata spark za sasa ni bora kuliko midrange za zamani za sumsang....... hamtaki kabisa kusikia huu ushauri

Kwenu samsung hata miaka 10 nyuma itabaki kuwa bora kuliko Tecno yoyote ile
 
Comment bora kabisa kuwahi kumtokea.🏂🏂🏂🪂🎂
 
Spark ni za last year.kitu Cha May 2023 ni camon 20 premium
 
ni kwa sababu samsung ya miak 10 nyuma unamkuta nayo mtu bado anaitumia leo

vip tuzungumzie tecno ya miaka 10 nyum kuna unae mkuta nayo

binafsi niliwahi tumia tecno kadhaa mwaka 2013 mapa 2015
tecno P3, tecno N3 na tecno boom J8

tecno booom J8 nipo nayo apa na niliinunua 2016 lakin hapa haiwaki ikiwaka inaandika tecno bas haiendelei tena

lakin mwaka huo huo 2016 kuna mtu alinunua samsung J1 na yupo nayo mpaka leo na ina function vizuri tu

Sasa hapo utalinganisha durability ya samsung na tecno?

Infact ukiwa mtumiaj wa tecno inakubidi uwe Mtumwa wao wa kununua sim kila baad ya miaka miwili maan itakua haina ubora tena
 
Hebu soma nilichokiandika hapo juu
Naona kama umekosea kuniquote, maana unachokiongea ndio nilichokiandika hapo juu. Sielewi kwa nini umejumuisha post yangu kwenye hii quote yako

Ninachosema mimi ni kwamba Tecno ukizishindanisha na hizi midrange au low end za Samsung sometimes Tecno inaweza kuwa bora zaidi, mfano nikasema Tecno Camon 18 ni bora kuliko Samsung Galaxy A13 na zote zinafanana bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…