Hahah😂🤣🤣🤣🙌Hii inawafaa wale wasio cheza karate wakianza kuota,lakini kwa wale ambao mpaka afike nyumbani kasharuka vi mito na mifereji karibu 10 akinza kuota utakula mateke mpaka ujute kuzaliwa...
Unameza komya kimya...😂😂😂😂 Penzi jipya lina mambo, hata mwenzio akiachia bomu unavunga km hakuna hewa muingiliano
Umenikumbusha nikiwa form 3 niligoma kushea kitanda na cousin na nikawaambia sitakuja shea hata shuka na mtu napenda kujifunika peke yangu😂ila sijui kilichonikuta mpaka saiv nikabadili mawazoKwakweli naanza kuamini ni story tu.. kwasababu nikifikiria naona ni kitu kisichowezekana kwanza utapumuaje huku umebanwabanwa😂😂😅
Utamu wa fimbo mamkweUmenikumbusha nikiwa form 3 niligoma kushea kitanda na cousin na nikawaambia sitakuja shea hata shuka na mtu napenda kujifunika peke yangu😂ila sijui kilichonikuta mpaka saiv nikabadili mawazo
🤣🤣🤣🤣 HatareeMkishazoeana ni kujambiana tu hakuna shida
Ila kulala wawil raha nyie
Kwenye hii sector ya kupandiana nimekugundua ni mtu wa aina gani..🤣😂😂😂😂 Penzi jipya lina mambo, hata mwenzio akiachia bomu unavunga km hakuna hewa muingiliano
Si lazima kila mkishtuka mkumbatiane mnaweza geuziana matako ilmradi mgusane na inafanya kazi sana kwa kapo mpya mkizoeana hii starehe hupungua au kuisha ila sio pa kufikia kugawana mashuka ama shuka moja kila mtu ajipumulie kivyake na ikifikia hatua hii lazima kuna mmoja au wote mna michepuko, penzi limekufa hapo🤣🤣🤣 Ko kila mkishtuka mnakumbatiana tena? Hebu nianze kujaribu km nitaweza
Naomba na mimi iwe hivyo kwakweli,, maana story zenu hizi zimenifanya niwaze mengi sana😊😊... nahisi kama kuna vitu nimepungukiwa hivi 🙈🙈Umenikumbusha nikiwa form 3 niligoma kushea kitanda na cousin na nikawaambia sitakuja shea hata shuka na mtu napenda kujifunika peke yangu😂ila sijui kilichonikuta mpaka saiv nikabadili mawazo
Na me sipendi ndiomana nikilala hata night dress sivai sipendi bugudha 😂😂Labda kabla hawajazoeana,, ila mimi kubanwa sipendi jamani uwii😌
Mwambie huyo😅Mkishazoeana ni kujambiana tu hakuna shida
Ila kulala wawil raha nyie
Fimbo ya nyama sio mkwe!!! Wakubwa mnafaidi sanaUtamu wa fimbo mamkwe
🤣🤣🤣 Na hii tabia tunayo sana ke tunajionea kawaida, kumbe tunateseka balaaUnameza komya kimya...
Naomba na mimi iwe hivyo kwakweli,, maana story zenu hizi zimenifanya niwaze mengi sana😊😊... nahisi kama kuna vitu nimepungukiwa hivi 🙈🙈
Cuddling nyote mnakua macho, mnaweza kua mmechill kwenye sofa watching movie huku mmekumbatiana na kupapasana kikawaida au mmelala kitandani huku unamchezea nywele zake au yeye anachezea kifua chako....
Hii starehe ni mahsusi kwa sehemu za baridi kwa dar ni kero ndo maana wengi wanavizia msimu wa mvuaNa me sipendi ndiomana nikilala hata night dress sivai sipendi bugudha 😂😂
ila mimi kulala hivihivi siwezi,, maana sarakasi zangu sio mchezo 🤣🤣🤭Na me sipendi ndiomana nikilala hata night dress sivai sipendi bugudha 😂😂
yaani kwa kuzuga hujambo!Kumbe kuna kugandiana😌
Nimekuimagine bila night dress umejiachia kwa kitanda [emoji2960]Na me sipendi ndiomana nikilala hata night dress sivai sipendi bugudha [emoji23][emoji23]