Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Nakuonea wivu, nataman na mimi nilivyokua na uwezo wa kulala usingiz wa namna hiyo.
Now days unaweza jikuta tu umekaa kitandani unawazua mambo ni mengiii hata hujui uliamka muda gan, ndio unashtuka tena unajirud kutafuta usingizi 😂
pole sana aisee ,, mimi nisipoweka alarm au mama asipokuwepo naweka nikachelewa kila mahali. Yani naweza kuamka hata saa4 😂😂😂😂😂🙈
 
Back
Top Bottom