Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
pole sana aisee ,, mimi nisipoweka alarm au mama asipokuwepo naweka nikachelewa kila mahali. Yani naweza kuamka hata saa4 😂😂😂😂😂🙈Nakuonea wivu, nataman na mimi nilivyokua na uwezo wa kulala usingiz wa namna hiyo.
Now days unaweza jikuta tu umekaa kitandani unawazua mambo ni mengiii hata hujui uliamka muda gan, ndio unashtuka tena unajirud kutafuta usingizi 😂