Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Kwahiyo ulidhani huyo mwasherati mwenzenu alimaanisha mlale vikojoleo vikiwa vinaumana?

Mbinguni utaenda kulala stoo
🤣🤣🤣🤣Babu mbona umekuwa kama Mzee kifimbo chezea Sasa?tunajua hakuumaanisha vikojoleo Bali alimaanisha nyama Kwa nyama yaani mwili Kwa mwili🤣
 
🤣🤣🤣🤣Hahaa kwani watumishi hamgandiani?
Hapana. Tukimaliza tendo takatifu, tunapiga magoti na kumshukuru Mungu kwa kutufikisha salama kileleni. Kutuepusha na mabalaa ya vifo vya presha. Na tunamshukuru sana kwa kutowahi kumaliza safari kabla jinsia KE haijapata haki yake ya kunaniliu...
 
Back
Top Bottom