Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

Pacome ni mtoto kwa Chama, nenda kampambanishe na Fei Toto huyo ndiye saizi yake Ila sio Chama.
Pacome ni zaidi ya Chama sema ni vile Chama amekua katika game muda mrefu,ila muda utaeleza.
 
Umekiri mwenyewe kuwa Chama ni baba lake Pacome 😂😂

Haya kabebe mabegi ya waliokula hela ya Uto warudi kwao sasa
Sijasema kuwa Chama ni bora kuliko Pacome.
Soma uelewe,Chama amekua katika game muda mrefu hivyo keshaweka rekodi huwezi fananisha na Pacome ambaye kaanza ball miaka hii inayohesabika.
Ila muda unavyokwenda na yeye ataweka rekodi zake.
 
kwani mada mezani ni nini?
ili tujue shida utoto au kutokuwa muelewa wa mambo hapa
Kumbe hata mada huijui, sasa hizo 5-1 ulizileta za nini hapa ilhali hujui kuwa Uto hawalipa deni la 6-0?

Endelea kukua kijana utaelewa ukiwa mkubwa.
 
Acha kuruka ruka kama maharage ya Mbeya yanayopikwa, pacome bado mtoto kwa Chama

Fei toto ndio saizi ya Pacome.

Over.
Sijasema kuwa Chama ni bora kuliko Pacome.
Soma uelewe,Chama amekua katika game muda mrefu hivyo keshaweka rekodi huwezi fananisha na Pacome ambaye kaanza ball miaka hii inayohesabika.
Ila muda unavyokwenda na yeye ataweka rekodi zake.
 
Acha kuruka ruka kama maharage ya Mbeya yanayopikwa, pacome bado mtoto kwa Chama

Fei toto ndio saizi ya Pacome.

Over.
Ni wewe unasema.
Ni sawa kipindi kile useme Lewandowski ni zaidi ya Aubameyang kisa Lewandowski alianza kucheza kabla ya Aubameyang,ila baadae Aubameyang akaja weka rekodi sawa na Lewandowski na kumpokonya tuzo nyingi tu bundesliga.
You can't be serious kumfananisha Pacoume na Feitoto.
Pacoume zaidi ya Chama.
OVA
 
Yupo kwenye form but sio class thus why mnamuona Na kumuimba Sasa but class ya Chama huwez kufsnanisha na iyo blch

Alaf cha kuwasaidia mpira una pimwa kwa takwm sio kelele kelele kama sharua kafumaniwa kwaiyo weken takwm hapa zote kwa miaka Yao tangu waanze kucheza
 
Tumeshamalizana mkuu acha kukaza fuvu.

Mpambanishe Fei toto na Pacome huyo ndiye saizi yake
 
Tumeshamalizana mkuu acha kukaza fuvu.

Mpambanishe Fei toto na Pacome huyo ndiye saizi yake
Yashaisha tayari Pacoume ni zaidi.
Umeleta twaarab mie nimekupa facts.

Case closed.🙏🙏🙏
 
Wanaendelea kujifariji,mchezaji ambaye yupo kwenye kikosi CAF cha wiki karibia mara tatu, ana kiwasha nje ndani. Tupo hapa muda utaongea,kichaka cha robo tushafyeka.
 


Nyie mmekosa kazi ya kufanya, chama na pakome hawafanani hata kidogo kila mmoja ni bora kwa klabu yake.
 
Takwimu gani unazotaka wewe?

Mimi naanza na hizi;

CAFCL GROUP STAGE.

Pacome ana goli 3 na assist 2.

Za chama tuwekee wewe.
 
Tena anaesubilia uwanja urogwe kwanza ata Kama anacheza na timu dhaifu kama jwaneng ndio utamuona🤣🤣🤣
 
Mchezaji wa Young Africans Sports Club Pacoume #26 ameibuka na kuwa mchezaji bora wa mashindano ya CAFCL kwa hatua ya makundi kutokana na kukusanya points nyingi kulko washndani wake

Ukumbuke pia pacoume zouzua amekuwa mchezaji bora wa mechi mara mbili katika hatua ya makundi CAFCL

Source ni CAF wanyewe haya njooni na chezaji lenu lenye speed KOBE.
 
Tena anaesubilia uwanja urogwe kwanza ata Kama anacheza na timu dhaifu kama jwaneng ndio utamuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi ndiyo machi zake HOROYA NA VIPERS YA UGANDA.
 
Simba walivyokandwa 5 na chama wao walisema Chama aliuza mechi
Walisema aliuza mechi na badae mangungu na wenzake wakaenda kumpigia magoti kumuomba msamaha, walishinda kuelewa kwamba uyo chama ni mchezaji wa mechi ndogo awezi kuwa na effect yoyote mbele ya wachezaji wanaojielewa ndio Kama ivyo anaishia kuambiwa ameuza mechi!
 
ORODHA YA WACHEZAJI WALIOFANANISHWA NA CHAMA.

1. HARUNA NYONZIMA.
2. SAODO NTIBAZONKIZA.
3. FEISAL SALUM.
4. AZIZI KI STEPHEN.
5. MAX NZEGELI.
6. PAKOME ZIZUUU.
7.....
8........
100....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…