Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana ndugu naona nikielezea chanzo cha hayo yote hapa ndo ntazidi kujipa stress kabisa nahitaji faraja sana zaid
Pole mkuu.Asante sana ndugu naona nikielezea chanzo cha hayo yote hapa ndo ntazidi kujipa stress kabisa nahitaji faraja sana zaid
Kuna stage ya stress ikifika hata mkuyenge hausimami kabisa.Mimi hutoa stress zangu kwenye papuchi nikimaliza nakwenda kulala, nikiamka nimechoka narudi kulala tena🤣
Asante sana ntajaribu maana hii hali huwa inaniondelea interest ya vitu vingi naweza nikasema nachek muvi ikifikia nusu natoa ntaingia social network kidogo tu ntazima data yaani nakuwa nusunusuNiko na iyo hali sasa, najitibu kwa kuangalia series mwanzo mwisho. Ratiba yangu iko hivi, nikirudi job saa kumi na mbili nakoga na washa TV naweka series hadi nachukuliwa na usingizi. Movies, series ndio kilevi nikipendacho.
Nimenza na breaking bad, nimemaliza, black list, sasa naangalia shooter. Hii miezi ya mwisho wa mwaka kwangu mara nyingi inakuwa poa ila mara hii msala umeanza oktoba mwazoni hadi sasa. Nimejaribu kusolve na nashukuru njia hii ya kuangalia series imeniondolea stressess na imenipa muda wa kutafakari changamoto zangu nizitatue vipi.
Nashauri tafuta kilevi chako ulewe nacho, naomba unifahamu tafadhali, sikushauri unywe pombe tafuta kilevi chako.
Karibu
Inaweza kuwa ni tiba kubwa sana maana hizi changamoto zinakukumba mpaka unahisi ni wew mwenyew tu ndo unakumbana nazoNatamani sikumoja tukutane wote wenye stress ...tusimuliane,tukumbatiane,tulie pamoja ...tukinyamaza tuambiane pole then tukubaliane kuacha mambo kama yalivyo then maisha yaendelee
Bakari nondoSiku ya jana, leo na sijui hiyo kesho itakwendaje. Napitia msongo mkubwa sana wa mawazo, najaribu kujiliwaza na kujifariji pamoja na kujichanganya na watu ila nikikaa kidogo na kufikiri najikuta na rudi katika huzuni na mfadhaiko wa nafsi. Sio siri nakosa raha na hamu ya vitu vingi naomba mbinu ya kujikwamua.
Kama kuna mtu alishapitia hali hii naomben msaada. Pia mimi sio mlevi wala situmii kileo chochote.
KabisaInaweza kuwa ni tiba kubwa sana maana hizi changamoto zinakukumba mpaka unahisi ni wew mwenyew tu ndo unakumbana nazo
Mungu akusaidie uvuke salamaKwahii shida yangu naona nahitaji zaid maombi kuliko kitu chochote nivuke tu salama
Kweli.Kuna stage ya stress ikifika hata mkuyenge hausimami kabisa.