Mnawachukuliaje wasichana walioweka bleach kichwani?

Mnawachukuliaje wasichana walioweka bleach kichwani?

Miaka hiyo nikiwa nasoma chuo bwana nikaenda kariakoo kuna saluni fulani hivi wanauza weaving bei poa. Nikanunua la 45k. Nililiona zuri balaa.

Nikashonewa, kushona ilikua 15k kama sikosei. Bado kuosha ilikua elf 5na steaming jumla elfu 10. Alipomaliza kunishonea nikajitizama kwenye kioo.
Uuwuuii, ile rangi ya weaving ilikua inashout sanankwa upande wangu. Kila mtu ananambia mbona rangi yake haijashout sana.

Nikagomaa. Haki ya Mungu nilifumua palepale. Niliwaambia naogopa kuonekana shankupe sijui shangingi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] ile rangi sijui ndo gold sijui nini ile. Yaan daah.

Nikawaambia bwana, kwetu kimaadili hakuna kitu kma hiki. Kwanza mwenyewe sina amani. Nikamzawasia yule dada ile weaving nikanunua ingine nyeusi tii kama nywele zangu. Ila kushonea nako nimeachaga kama miaka mitano nyuma.

Yaani ni kipaji kwakweli hizi rangi rangi. Unikute nimeweka rangi nyekundu kichwanii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza unaingia nyumba ya nani[emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavyosema hauwezi date na watu wa aina hiyo utasema wao wamesema wanataka kudate na wewe, au labda utafikiri usipodate nao kuna kitu utawapunguzia.

Endeleeni kukariri maisha hivyo hivyo maana ndiyo hulka ya wengi wenu
 
Mkuu au na wewe unaweka bleach kichwani?
 
Duuh! Weekend ilnilimuona Mama wa marehemu star mkubwa wa filamu bongo ambaye marehemu, ana hiyo bleach hair style...low cut

Alexander The Great
 
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?

Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!

Nyie mwawachukuliaje?
Mm nna mawazo tofaut kdg, nahis wapo wanoweka km urembo na mwngine anaweka sbbu tuh kamuona mtu wake wa karibu ameweka na kupendeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?

Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!

Nyie mwawachukuliaje?
Kuna mbunge mmoja
Sijajua ni wa chama kipi

Naona nae ana hizo takataka kichwani
 
Back
Top Bottom