miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Miaka hiyo nikiwa nasoma chuo bwana nikaenda kariakoo kuna saluni fulani hivi wanauza weaving bei poa. Nikanunua la 45k. Nililiona zuri balaa.
Nikashonewa, kushona ilikua 15k kama sikosei. Bado kuosha ilikua elf 5na steaming jumla elfu 10. Alipomaliza kunishonea nikajitizama kwenye kioo.
Uuwuuii, ile rangi ya weaving ilikua inashout sanankwa upande wangu. Kila mtu ananambia mbona rangi yake haijashout sana.
Nikagomaa. Haki ya Mungu nilifumua palepale. Niliwaambia naogopa kuonekana shankupe sijui shangingi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] ile rangi sijui ndo gold sijui nini ile. Yaan daah.
Nikawaambia bwana, kwetu kimaadili hakuna kitu kma hiki. Kwanza mwenyewe sina amani. Nikamzawasia yule dada ile weaving nikanunua ingine nyeusi tii kama nywele zangu. Ila kushonea nako nimeachaga kama miaka mitano nyuma.
Yaani ni kipaji kwakweli hizi rangi rangi. Unikute nimeweka rangi nyekundu kichwanii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza unaingia nyumba ya nani[emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app