Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Kwa hali hii msishangae kukutana na rungu la jemedali MUTUNGI Msajili wa vyama.Endelezeni utaahira wenu mkidhani mko huru kiiiiiivyo.hiiiiiiiiiiiiii
Hila na wivu wa huyo mwanaCCM mutungi, kunahusiana vipi na mapokezi ya Lissu we masaburi?
 
We shall overcome
 
Jamaa akitaka aache legacy mbaya ya uongozi wake basi aruhusu lisu kushambuliwa tena.
 
Naam nimethibitisha kuwa kamanda Tundu Lissu yupo na mtu wake wa karibu ambaye aliokoa maisha yake naye ni dereva wake Adam Bakari.

Wapo angani muda huu kuitafuta Bole International Airport safari ambayo itawaweka zaidi ya masaa 9 angani kabla ya awamu ya pili ya masaa matatu angani kutokea Bole kuichanja mbuga ya ukanda wa bahari ya Hindi kuitafuta Dar.

Once again tukutane Dar. Mimi nipo Bole tayari kwa kujumuika na Tundu Lissu kurejea nyumbani!
 
Uchawi wako unakudhuru mwenyewe
 
Na maombolezo haya...kuna watu watapigwa spana kwanini wameenda kumpokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…