Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Kwa hali hii msishangae kukutana na rungu la jemedali MUTUNGI Msajili wa vyama.Endelezeni utaahira wenu mkidhani mko huru kiiiiiivyo.hiiiiiiiiiiiiii
Hila na wivu wa huyo mwanaCCM mutungi, kunahusiana vipi na mapokezi ya Lissu we masaburi?
 
We shall overcome
Twende ni kumpokea shujaa wetu. Twendeni kwa amani, twendeni huku tukionyesha kuwa sie ni watu wa amani, si watu wa fujo.

Kama fujo waanzishe polisi, kama kuua waue polisi. Tuone kama wanaweza kutupiga risasi watu 1000 au 2000 tutakaokuwa tumeenda kumpokea shujaa wetu
 
Jamaa akitaka aache legacy mbaya ya uongozi wake basi aruhusu lisu kushambuliwa tena.
 
Naam nimethibitisha kuwa kamanda Tundu Lissu yupo na mtu wake wa karibu ambaye aliokoa maisha yake naye ni dereva wake Adam Bakari.

Wapo angani muda huu kuitafuta Bole International Airport safari ambayo itawaweka zaidi ya masaa 9 angani kabla ya awamu ya pili ya masaa matatu angani kutokea Bole kuichanja mbuga ya ukanda wa bahari ya Hindi kuitafuta Dar.

Once again tukutane Dar. Mimi nipo Bole tayari kwa kujumuika na Tundu Lissu kurejea nyumbani!
 
Yaliwapata segerea na bado hamjifunzi! Pamoja na sehemu nyeti za kiusalama wa taifa airport ni mmojawapo. Kuna sehemu za kufanya mkusanyiko ya mihemko ya kisiasa lakini siyo airport hasa kwa mazingira ya msiba wa kitaifa. Naamini safari hii kipigo siyo tu cha jeshi la police, lakini pia majeshi mengine pia halali yao. Sisi wengeni ni kuonya ili msije mkasema hatukuambiwa. SHAURI YENU.
Uchawi wako unakudhuru mwenyewe
 
Na maombolezo haya...kuna watu watapigwa spana kwanini wameenda kumpokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom