MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hata Bwana Yesu alishindwa kesi dhidi ya Muuaji Baraba.Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na kesi baina ya Zitto na CHADEMA. Lissu aliiwakilisha CHADEMA wakati Zitto aliwakilishwa na Albert Msendo. Chadema ilibwagwa kwenye kesi ile.
Bashite ulivyoshiriki kutaka kumuuwa. Leo unaanzisha thread zaidi ya mia tuambie unahofu ya niniMwambieni Tundu lissu aje..
Tena aje na marafiki zake aje...
Nasi wengine tupo Dar tukimsubiri kwa hamu kubwa shujaa wetu na wote atakaoongozana nao. Surely God is Great na hakuna kama Mungu.Naam nimethibitisha kuwa kamanda Tundu Lissu yupo na mtu wake wa karibu ambaye aliokoa maisha yake naye ni dereva wake Adam Bakari. Once again tukutane Dar. Mimi nipo Bole tayari kwa kujumuika na Tundu Lissu kurejea nyumbani!
You appear not to know the meaning of the word "footnote.'Too bad, hatopata kiki aliyokuwa anaitegemea.
Habari ya taifa kwa sasa ni Hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Right now Lissu is a footnote.
watu wote wa ulimwengu ruksa kuingia Tanzania- kwa maneno yake mwenyewe JPM ili mradi tu temperature ya mwili iwe sawa: The Government of Tanzania has removed mandatory 14-day quarantine requirements for visitors on arrival. However, Tanzania is implementing temperature screening for passengers on arrival. If you show symptoms of COVID-19 on arrival, you may be required to quarantine at a government-designated facility at your own expense.APIMWE COVID 19, au awekwe QRT two weeks
Umempa jibu ambalo sidhani kuwa atakuwa na njguvu ya kurudi kuendeleza ujinga.Hata Bwana Yesu alishindwa kesi dhidi ya Muuaji Baraba.
Hawa jamaa Wana mitandao yao labda. Lissu angevuta vuta siku, huu msiba uishe, walau angepata attention. Lakini kwa watanzania Tuko busy kumsindikiza mzee wetu, Big Ben.Bwa ha ha 🤣🤣🤣🤣
Bwa ha ha 🤣🤣🤣🤣
Bwa ha ha 🤣🤣🤣🤣
💯%.Hawa jamaa Wana mitandao yao labda. Lissu angevuta vuta siku, huu msiba uishe, walau angepata attention. Lakini kwa watanzania Tuko busy kumsindikiza mzee wetu, Big Ben.
Nimekuwepo humu since 2012 chief .nilipoteza account yangu baada ya pilika za maisha nimewatumia mods email yangu mara kadhaa ila sijafanikiwa kuirejesha .sijavamia kwanza nimekuwa suprized kukuona Nyani Ngabu .Nazikumbuka nyuzi zako.JF imevamiwa na ma trolls?
TRUST labda kama uko misitu ya kongo.Hawa jamaa Wana mitandao yao labda. Lissu angevuta vuta siku, huu msiba uishe, walau angepata attention. Lakini kwa watanzania Tuko busy kumsindikiza mzee wetu, Big Ben.
Acha kusingizia uchawi, mbona unausifia Sana? Ndio urithi wako Nini? TL ameshakiuka mashariti ya dhamana, ajiandae to kusondekwa🤣😂🤣!Mawazo ya kichawi kutoka alierithishwa uchawi akiwa bado mchanga
AMINA KUBWAGlory be to the Lord. Mungu amlinde, amsafirishe salama na kumfikisha salama nyumbani in Jesus Name