Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Too bad, hatopata kiki aliyokuwa anaitegemea.

Habari ya taifa kwa sasa ni Hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Right now Lissu is a footnote.
Jibu haya:

Kwani umeambiwa anakuja kutafuta Kiki?

Alipanga safari ya kuja Tanzania baada ya kutokea msiba?

Ikiwa mikusanyiko hsitakikani kwa sababu Kuna msiba mbona hujakemea mikusanyiko iliyofanyikana kwenye viwanja vya milita toka juzi na uchaguaji WA wagombea kwenye majimbo?
 
Mbona hamjasimamisha michezo??? Mbona hamjafunga sehemu za starehe na watu wanaruka majoka kama kawaida ???

Au msiba wa Mkapa ni kwenye mapokezi ya Lissu tu?
Shame!!!
 
Kwani kumpokea mpendwa wetu kuna husiana nini na maombolezo? Mbona mnachanganya vitu visivyokuwa na uhusiano?
 
Japo wamemsababishia ulemavu ila Mungu ni mwema, na utukufu wake umeonekana, Lissu is finally coming back, and the best thing is, the guy looks stronger than ever.
 
Ulidhani utabebwa mbeleko kwa kuikashifu Chadema na viongozi wake, km vipi rudi tu kwenu kumenoga.
 
Maombolezo yana athirika vipi na kumpokea mtu wako umpendae? Mbona tunakuwa mabwege namna hiyo nchi hii?

Mtatumbia sasa tusiwapande wake zetu hata kama wako kwenye heat kwavile kumetangazwa maombolezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…