Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Utamsikia na utaachana na ya kuambiwa na akina Polepole
 
Acha kujidanganya, atafikia korokoloni!
hivi nyie mnaoshabikia lissu kufikia korokoloni mnajua madhala yake ?kwanza sidhani vyombo dola makin wanaweza fanya upuuzi kama huo naamini wanajitambua aijalishi mzee anashaurika au la taifa kwanza mengine badae
 
tatizo mkuu chama dola wanakuza swala la lisu bila sababu .mtu anafika mnaachana nae basi but kadri mtakavyo mbuguzi lissu ndo mnamuongezea umarufu mara kumi hivi ccm washauri wameisha na kitengo cha propaganda kimekwisha au tupeni kazi tuwashauri sio mnakaa na wakina polepole tumieni njia 4 7 ccm vipi bwana sasa wkizitumia chadema hamchomoki nawambia maana mpaka mda huu chadema wako vizurisa sana mwafaa ccm
 
Mungu ana mpango na Lissu kuhusiana na Tanzania.
 
Ahaaa,,,basi sawa aje kwa utulivu,tatizo nyinyi wa mitandao mnamuharibia kwa kuhamasisha maandamano.
Kwn kumpokea mgeni kwa kuhamasisha ndg zake wakampokee airport ni kosa kisheria au ni kosa tu kifikra?
 
Mlioko eaput mtupe mrejesho kama huyu loffa kashatia timu au lah!
 
Wasalaam .......!

Karibuni kwenye mkesha ramsi hapa Jf wa kumpokea Mkombozi wa Taifa Tundu Lissu.

Leo tutakesha hapa tukiweka mikakati ya kesho pamoja na kufanya dua na sala mahali hapa kwa ajili ya siku ya kesho.

Peoples..........
Wasiojulikana wanatamani wairoge hata ndege ipotee njia,uzuri ndumba zimeshaexpire nguvu zimeisha Sasa ni wakati wa Mungu kulitawala anga lake.
 
Kwa akili hizi ukiitwa Nyumbu utakuja kuwatolewa povu waliokuitwa kweli?

Sasa hapa ndo naanza kupata picha yakwanini Watu wanaoitwa wajumbe waliwafyekelea mbali wahamiaji karbia wote kutoka upande wa pili.

Note; Kwa akili hizi Wajumbe wasilaumiwe wapo sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…