Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Nawapongeza sana wanawake wa chadema kwa kuvunja ule utaratibu unowadharirisha, ili upate uteuzi mpaka uliwe na kiongozi umewaumiza na kuwakoseha nafasi wengi sana
 
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana...
Waandishi wa habari jifunzeni kuuliza maswali au kaeni kimya kama kanisani kwenye sala.
 
Hiyo ni rushwa kabisa, kumfunga mdomo..Kwanini umnyime mtu haki yake kumshikilia muda wote huo bila kosa halafu in less than 48 hrs anaapishwa kuwa mbunge??? HII NI RUSHWA KABISA..

Nlitegemea mbowe awe mstari wa mbele kabisa, mchezo una baraka zote ktoka juu
 
Nawapongeza sana wakina

Nawapongeza sana wanawake wa chadema kwa kuvunja ule utaratibu unowadharirisha, ili upate uteuzi mpaka uliwe na kiongozi umewaumiza na kuwakoseha nafasi wengi sana
Mbona walikuwa viongozi.
 
Ulitaka atoe msimamo wa chama kabla hakijaitisha mkutano, Bongo!
 
Na wewe unajifanya analytical...kumbe kiazi tu.
Sasa hicho umeandika ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…