Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Endeleeni kufurahiya maigizo yanayoendelea tz, ndo maana mnaitwa ng'ombe mliokatwa mikia na ubongo wenu umetolewa vichwani mwenu, ni lini Jobbb akapiga picha na wachadema????
 
Waliapishwa pengine wametumia umafia kufika hatua hiyo na kukataa udhalilishaji,sasa tuone kama serikali itakubali wadhalilishaji wawanyanganye wanawake wazalendo ubunge wao wa halali kwa kukataa matakwa ya wahuni wachache.
Kazi kwa serikali
 
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Inawezekana,angalia tweets ya Mbowe.

Bla bla mpaka muwaite kuwasilikilza yanini si muwafukuze uanachama wajiunge ccm
Mnajua sana hapo mnahadaa wananchi tu
 
sijui unawezaje kumtofautisha na hela, kaskazi na hela! hesabu zimepigwa tayari kisha kapangusa mdomo mkavuu kama siye yeye vile!!
 
Hizo ni shutuma tu lakini udhalilishaji haswa unafanywa na polisi je wajua mabinti wa ngapi wa kizanzibari wamedhalilishwa kwa kubakwa?
Nani amewahi kubakwa na mbiwe?
Acheni umbea watoto wa kiume
 
Hivi nyinyi kijani kibichi huwa Ni wazima kweli vichwani mwenu .Wewe Pimbi leo unatetea haki za binadamu kwa bandiko refu ?

Jiwe hakuwakata wanawake walioshinda kura za maoni akawapitisha wanaume walioshinda ? Hizo ndio haki za binadamu ? Mwana efuei hakushindwa na mwanamke akawa wa tano , Jiwe akakata mwanamke akamuweka mbongo fleva ?

Hizo ndio haki za wanawake ? Haki za wanawake CCM nchi nzima kuweka wagombea kumi na mbili tu wanawake nchi nzima? Tumia basi hata akili ya punda kuweka mzigo mgongoni bila kuuangusha .
 
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Bla bla mpaka muwaite kuwasilikilza yanini si muwafukuze uanachama wajiunge ccm
Mnajua sana hapo mnahadaa wananchi tu
Tatizo katiba ya chama ndio inavyotaka,ukiwafukuza bila kufuata utaratibu spika atawabeba watalalamika hawakusikilizwa wataenda mahakamani,mahakama ni CCM kesi itapigwa kalenda hiyo huku wabunge wanaendelea na ubunge mpaka miaka mitano kesi haijaamuliwa,ili kuwayia aibu serikali na CCM angalau CDM wawe smart ijumaa sio mbali
 
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…