Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Yaani Mohamed ameingia kwenye mtego wa kipumbavu kabisa.kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Umeongea pointi tupu!
🤣🤣🤣
 
Hii umeandika kama utani ila utashangaa kitakachomtokea Chama,

Mo na barbra ni waswaahili kuliko manara.
CEO hana utani kwenye haya masuala, Haji na mikwara yake yote alijirekodi huku analia kama moto mdogo !
 
Na hawa ni aina ya washabiki wasiojielewa. What a coincidence!
Wewe kenge acha ujinga,muda wote ni kuandika habari hasi za Simba!! Acha uchoko,watu wanaopandwa na kupumuliwa kwa nyuma ndio wanatabia kama zako,kuandika habari za kuponda wanaume hapa JF .
 
Wewe kenge acha ujinga,muda wote ni kuandika habari hasi za Simba!! Acha uchoko,watu wanaopandwa na kupumuliwa kwa nyuma ndio wanatabia kama zako,kuandika habari za kuponda wanaume hapa JF .
Mbuzi kang'ata reli huko! Teh teh
 
Sio chama tu hata akina Boko wanazingua sana kuanza kumsifu manara wakati washabiki wote wako against. Anyway usajili huu mo aweke engine mpya za kazi sio hawa waliozoea watu
 
Kwani MWAMEDI ana umri wa miaka mingapi?
30+ na ni mkazi wa palee mitunduruni Singida alipozaliwa.
Mnyaturu piwa labda miwani tu ikatae.
Namfua uwanja kajenga,kuna timu Born city kasimamia sana akiwa mbunge Singida kabla haijaitwa Singida United.
Tusimchukulie poa kusema ukweli huyo bwege Chama anacheza na kikombe cha chai moto.
Swali simple tu Manara anakulipa mshahara?ngoja tuone hapa ndo narudi na bisi zangu
 
Mo angepoteza tu siyo kujihusisha na hayo Mambo madogo ,angemjibu manara siyo ku-attack wachezaji ,huyu boss angetulia tu ofisini hayo mambo wamalize mashabiki kama sisi
 
Manara hatumtaki ila Mo naye Mambo madogo hivi anazingua ,Anaweza kusajili mchezaji yoyote ila kama hawana maelewano yatakuja Mambo Kama ya Pogba
 
Mo ni taka taka, walokua wakimtetea nadhani kawaonesha rangi yake
 
1.Salim Abdallah (Try Again)
2. Hans Pope

3 Magori

Kwahiyo timu ndani ya bodi hakuna kitakachoharibika.

Manara alone hawezi kuiangusha Simba never.
 
Haji hakulazwa kwenye makochi, ila alizamia safari ambayo hakuwamo kwenye list ya ticket na hotel
Sasa msemaji wa club kwanini halipiwi ndege na hotel hadi inabidi alale kwenye makochi ya reception?
 
We naye sijui unawaza nini kwani hiyo mishahara anawapa bure au?
 
Kanuni mojawapo ya kudeal na mambo kama haya ni kutoyafatilia. Wanaompa sapoti na kuthamini mchango wake wako wengi kuliko wanaombeza sema yeye anataka kufatilia wanaombeza. Inaonekana emotional quotient yake iko chini kwenye eneo hili, akae mbali na mitandao itamsaidia kwa sasa la sivyo ataharibu.
 
1.Salim Abdallah (Try Again)
2. Hans Pope

3 Magori

Kwahiyo timu ndani ya bodi hakuna kitakachoharibika.

Manara alone hawezi kuiangusha Simba never.
Hao wote uliowataja ni magori tu Ndio wa maana zingine hizo ni takataka, hasa Hand pop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…