Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Je si kweli kwamba yeye ndio anateuwa bodi ya wakurugenzi wanaomuwakilisha yeye kama muwekezaji? hata CEO yeye ndio anateuwa sio wale wa 51% maana wale wanafuata upepo tu. Mimi bado sijamuelewa kweli miaka 6 anasema mchakato bado lakini anawekeza, sasa anawekeza kama nani? share au mfadhili tu
 
zaidi ya ile MoU ya kuweka 20b kwa 49% ya hisa, hakuna kinachoendelea....

infact hio 20b hajaweka bado, maana upande wa wenye 51% hakuna kinachoendelea.... nadhani hizi timu wenye nazo hawataki ziendeshwe kisasa!
 
Hapa ndio nazidi kuchanganyikiwa, nilishawahi kumsikia kuwa pesa wameweka hata kukatoka watu kutaka kujuwa bank gani tena unasema hakuna kinachoendelea naomba utupe elimu ni kipi hicho kinachosubiriwa kiendelee. Vinginevyo hii ndoa inakaribia kufa kwa maoni yangu.
 
Kunywa chochote hata sumu nitalipa mimi!
 
Kichwa cha habari kingesomeka hivi; "MO aahidi kuikatia tamaa Simba".
 
Mnaweza mkawa mnahangaika na kujiuliza kuh7su hizi posts zake za mpira, kumbe Privadinho sijui nani yule ndiye anaendesha accounts zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…