Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Ameifuta baada ya kuona ina impact mbaya.mbona hii tweet haionekani kwenye account ya mo dewj mwenyew? au alipost akafuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameifuta baada ya kuona ina impact mbaya.mbona hii tweet haionekani kwenye account ya mo dewj mwenyew? au alipost akafuta?
Sawa bila pesa uliona wapi?!Simba ilikuwepo kabla ya Mohamed kuja duniani.
Matajiri bado wapo na watakuja Simba na kila kitu kitakuwa sawa sawaaaa.
Sasa wale si wenye mali wamemuuzia yeye 49% ya thamani ya mali yao sasa wale waweke mzigo wa nini tena wakati mali ni yao wameuza share zao, au mimi sielewi hapa. Nadhani angeongea details issue ni nini?Anataka wale wenye hisa 51% waweke mzigo kama yeye alivyofanya kuweka bilioni 20.
Je si kweli kwamba yeye ndio anateuwa bodi ya wakurugenzi wanaomuwakilisha yeye kama muwekezaji? hata CEO yeye ndio anateuwa sio wale wa 51% maana wale wanafuata upepo tu. Mimi bado sijamuelewa kweli miaka 6 anasema mchakato bado lakini anawekeza, sasa anawekeza kama nani? share au mfadhili tuKinachohitajika ni mpango kazi wa muda mfupi, wa kati, na wa muda mrefu na gharama zake na wadau wenye weledi, huo mpango kazi lazima uainishe mapungufu ama changamoto zilizopita na jinsi ya kuzitatua na mfumu ulio wazi wa utendaji ili hata mwingine asipate ugumu wa kuenenda
Ukioza haunuki...Tajiri ukifa hauozi...
zaidi ya ile MoU ya kuweka 20b kwa 49% ya hisa, hakuna kinachoendelea....Hebu tupeane eleimu kidogo transformation gani haijakamilika? sababu anateuwa mkuregenzi, ana kauli katika team ni kitu kilitakiwa kufanywa ili hiyo transformation ikamilike. Ni nini hasa kimapa malalamiko haya. tupeane elimu tu mimi nimeuliza tu kujuwa.
Hapa ndio nazidi kuchanganyikiwa, nilishawahi kumsikia kuwa pesa wameweka hata kukatoka watu kutaka kujuwa bank gani tena unasema hakuna kinachoendelea naomba utupe elimu ni kipi hicho kinachosubiriwa kiendelee. Vinginevyo hii ndoa inakaribia kufa kwa maoni yangu.zaidi ya ile MoU ya kuweka 20b kwa 49% ya hisa, hakuna kinachoendelea....
infact hio 20b hajaweka bado, maana upande wa wenye 51% hakuna kinachoendelea.... nadhani hizi timu wenye nazo hawataki ziendeshwe kisasa!
CEO ni muwekezaji kumbePako shwari na wakati CEO wenu yupo katika hatua za mwisho kurusha taulo. Au unafikiri hatujui?
Namba 6 wenu aliibwa eapoti.
Hayo yote tulisikia ila tukaamua tu kusizi
Wadangaji wasiompa faida Boss wao ..awaache tu!Wanasimba wana kazi mbili, kushabikia timu na kumbembeleza tajiri wao asikate tamaa
Kunywa chochote hata sumu nitalipa mimi!Huyu jamaa huwa ni mbabaishaji sana , kila kukicha kutishia watu, hili ndiyo tatizo la timu kumilikiwa na mtu mmoja! Ifike wakati sasa Simba waige mfano wa namna Yanga namna wanavyoendesha mambo yao, hawako perfect lakini Simba wana mengi ya kujifunza kutoka Young African SC.
Kichwa cha habari kingesomeka hivi; "MO aahidi kuikatia tamaa Simba".Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"
Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi alijiuzulu nafasi hiyo mnamo Septemba 21, 2021.
Wakati akitoa taarifa yake ya kujiuzulu alisema "Nimeachia nafasi hiyo lakini nitaendelea kuwa Simba mpaka siku ya mwisho, sijajiondoa kwenye Simba bado ni mwekezaji mimi kwa sasa mara nyingi sipo nchini Tanzania nakuwa nje"
Aaah wapi mtapitisha kofia sio mda [emoji28][emoji28]Naamini Kuna matajiri wengi wanasubili mo aangushe Mkono waichukue brand ya Simba
Mnaweza mkawa mnahangaika na kujiuliza kuh7su hizi posts zake za mpira, kumbe Privadinho sijui nani yule ndiye anaendesha accounts zake.Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"
Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi alijiuzulu nafasi hiyo mnamo Septemba 21, 2021.
Wakati akitoa taarifa yake ya kujiuzulu alisema "Nimeachia nafasi hiyo lakini nitaendelea kuwa Simba mpaka siku ya mwisho, sijajiondoa kwenye Simba bado ni mwekezaji mimi kwa sasa mara nyingi sipo nchini Tanzania nakuwa nje"
Jidanganye!Simba ilikuwepo kabla ya Mohamed kuja duniani.
Matajiri bado wapo na watakuja Simba na kila kitu kitakuwa sawa sawaaaa.