Modern contemporary house plan design

Bosspraise

Member
Joined
Feb 10, 2020
Posts
98
Reaction score
74
get - 2024-07-19T204302.811.jpeg
get - 2024-07-19T204255.811.jpeg
get - 2024-07-19T204250.681.jpeg

Modern contemporary house plan

Do you need other samples ?

Check me on +255742892195 call text whatsapp

WE design and build your dream home
 
Kulaza tofali au kutokulaza wakati wa ujenzi*

TOFALI KULAZWA AU KUTOKULAZWA JUU INATEGEMEA NA AINA YA KUPAUA ,

KAMA NYUMBA IKO NA SIMPLE ROOF UNAWEZA SIMAMISHA BILA SHIDA LAKN KAMA NYUMBA INA CONCRETE GUTTER ILIYOZUNGUKA NYUMBA NZIMA AU INA SEHEM YA TANK AU INA SLAB SEHEM HUWEZI KUSIMAMISHA LAZIMA UTALAZA TU TOFALI

SWALA LOLOTE LINALOHUSU UTAALAMU HUWEZI TU KUFANYA KWA KUKARIRI AU KUONA FULANI KAFANYA

INATOFAUTIANA KUTOKANA NA NYUMBA NA MWINGINE KILA MTU ANA DESIGN YAKE UKI KARIRI UTAUMIA ,

KWA HUDUMA ZA UJENZI IMARA ramani .. WASILIA NA SISI zaidi
 
Attachments

  • 20230907_214620-1-scaled.jpg
    20230907_214620-1-scaled.jpg
    466.7 KB · Views: 15
get - 2024-06-30T142657.477.jpeg

get - 2024-06-30T142651.819.jpeg
get - 2024-06-30T142646.289.jpeg
NAJUTA KWANINI NILIJENGA BILA KUTUMIA RAMANI

haya ni maneno ya baadhi ya watu baada ya kujenga bila kutumia RAMANI

kamaa haujui umuhiku wa kujenga nyumba Yako Kwa kutumia RAMANI

hiii ndio yenyewe

👇👇👇

Umuhimu wa kuwa na Ramani ya nyumba Au jengo

Ramani hutoa hutoa maelezo ya kitaalamu , vipimo vinavyotakiwa kufatwa na mafundi na wahandisi wakati wa ujenzi wa nyumba Yako ...

Ramani Ina kurahishishia kujua mahesabu ya gharama zinazohitajika katika ujenzi wa nyumba Yako itakuasaidia kujua vifaa vya ujenzi ambayo unatakiwa kuandaa mfano tofali , kokoto , saruji n.k Ukidiriaji kiholela unaweza kusababisha kununua materials ya ujenzi mengi au kidogo

Ramani ya nyumba itakuasaidia kupata kibali Cha ujenzi kutoka mamlaka husika iliyo amriwa kutoka vibali vya ujenzi

Ramani Ina kupa muongozo namna ya kujenga mifumo taka katika nyumba yako wakati wa ujenzi kulingana na ukubwa wa nyumba

Ramani inakupa taswira ya usanifu wa jengo au nyumba Yako jinsi itakavyokuwa pindi umalizapo ujenzi wa nyumba

Unataka Ramani ya nyumba Au ujenzi wa nyumba Yako. Wasiliana na sisi zaidi. 0742892195
 
Attachments

  • get - 2024-06-30T142711.892.jpeg
    get - 2024-06-30T142711.892.jpeg
    130.9 KB · Views: 16
Nahitaji ramani ya nyumba vyumba vitatu kimoja master, ila nyumba iwe ndogo
 
View attachment 3047968
View attachment 3047966View attachment 3047967NAJUTA KWANINI NILIJENGA BILA KUTUMIA RAMANI

haya ni maneno ya baadhi ya watu baada ya kujenga bila kutumia RAMANI

kamaa haujui umuhiku wa kujenga nyumba Yako Kwa kutumia RAMANI

hiii ndio yenyewe

👇👇👇

Umuhimu wa kuwa na Ramani ya nyumba Au jengo

Ramani hutoa hutoa maelezo ya kitaalamu , vipimo vinavyotakiwa kufatwa na mafundi na wahandisi wakati wa ujenzi wa nyumba Yako ...

Ramani Ina kurahishishia kujua mahesabu ya gharama zinazohitajika katika ujenzi wa nyumba Yako itakuasaidia kujua vifaa vya ujenzi ambayo unatakiwa kuandaa mfano tofali , kokoto , saruji n.k Ukidiriaji kiholela unaweza kusababisha kununua materials ya ujenzi mengi au kidogo

Ramani ya nyumba itakuasaidia kupata kibali Cha ujenzi kutoka mamlaka husika iliyo amriwa kutoka vibali vya ujenzi

Ramani Ina kupa muongozo namna ya kujenga mifumo taka katika nyumba yako wakati wa ujenzi kulingana na ukubwa wa nyumba

Ramani inakupa taswira ya usanifu wa jengo au nyumba Yako jinsi itakavyokuwa pindi umalizapo ujenzi wa nyumba

unataka Ramani ya nyumba Au ujenzi wa nyumba Yako. wasiliana na sisi zaidi. 0742892195
Baadhi ya wachora ramani nao ni changamoto, wengine wanatoa majengo ya ajabu kabisa! huelewi ilikuwa ni chumba, dining au nini, unashangaa kina milango pande zote.
 
Ni kweli kabisa jitahidi kufanya kazi na watu smart kama sisi hahaha
 
Nahitaji ramani ya nyumba vyumba vitatu kimoja master, ila nyumba iwe ndogo
Sawah karibu kiongozi unaweza kuni pm au wasilina na mimi tuweze kuyajenga whatsapp 0742892195 call text whatsapp
 
Ukuaji wa teknolojia umerahisisha upatikanaji wa ramani nyingi kwa wepesi.

Kwa kiwango kikubwa nyie watalamu na sisi tusio watalamu tunapigana vikumbo huko google na kwenye apps kadha wa kadha kudownload ramani hizo.

Nakutakia kila la heri katika kazi yako hiyo na Mungu akujalie kupata mkate kupitia kazi yako hiyo.
 
Okey mkuu
 
Back
Top Bottom