Moja ya makosa makubwa alowahi kuyafanya hayati ni kuingiza hili taifa ktk ujamaa.Una uelewa mdogo sana kuhusu Geopolitics.
Sera kubwa ya China ya mambo ya nje ya kutuuzia earphones, toothpicks, vitana, kuchukua tenda kubwa kubwa za kujenga barabara na vibarua kutoka kwao huku kampuni za wazawa wakitoa tu macho wewe ndio unaona sera bora ya mambo ya nje??
Inasikitisha kufurahia Africa kuwa dampo la bidhaa hafifu za wachina na sehemu za kujaza wachezesha kamari wa Kichina.
Ujamaa ni laana hakika.
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app