Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
a4a...Kuna bandiko linalomuhusu Mzee Dossa Azizi Ally, sijajua bado limeandikwa na nani, japo kiuandishi linafanania na Mzee wetu huyu.
Mle ndani Muandishi anatuonesha ukaribu wa Nyerere na Dosa Azizi Ally, namna walivyopambana bega kwa bega kudai Uhuru.
Mwishoni baada ya Uhuru anataja kutokea kwa mipasuko baina ya Nyerere na Dossa.
Anasema Mpasuko ulitokea baada ya Nyerere alipotaka Baraza LA Wazee la TANU, ambalo wajumbe wengi walikuwa waislamu, liongozwe na Waislamu ambao ni Waafrika(Weusi).
Hilo kwa Mzee Dosa na wenzake walilitafsiri kama ni Hujuma dhidi ya Uislamu.
Sasa, kwa Mindset ya Mzee Mohammed Said kama wazee wake nao walikuwa alivyo yeye Leo, kuna uwezekano mkubwa walitaka Uislamu use sehemu ya sura ya Serikali. Kuna uwezekano ndio chuki kati ya Nyerere na kundi hili ilipozaliwa.
Mzee Mohamed Said, binafsi nikuhakikishie kuwa kilele cha mafanikio ya harakati zako hizi, ni siku watoto au wajukuu zako mwenyewe, watakapoona fahari kuchinjana hadharani na kujivunia.
Kaka na kaka wa ukoo wako watajivunia kumwagana damu kabla hawajawafikia majirani zao.
Na hayo ndio mafanikio ya wale uwaitao wa kimataifa wanaobariki maandiko yako, nawe ukajivika ufahari kusifiwa na adui za wajuukuu wako.
Binafsi nitakusihii Ujitafakari upya, Kwa Uzee wako kwetu vijana ni Fahari. Utumie vizuri.
Anajua maboro ya masykes tu. haoni hasikii hapumui bila sykes jina feki la kizungu la ukoo kwa anayetinabaisha kama Mwafrika na Muislamu. Huyu mzee kila kitu chake ni feki. hata jina lake. Wenye jina "Mohamed Said" ni ma-milioni duniani. Hizo kazi zake anazojisifia nyingi zitakuwa zimeandikwa na "ghost writers", washirika wake. Angemsomesha mwanaye Harvard University aje arithi mikoba yake. Maana mzee bado angeendelea kulalamika kukosa matunda ya uhuru hata miaka 1000 baada ya leowe unajua uhuru tu ila hao waarabu walichowafanyia wenyeji ulishakiandika?
Jagina,Shukrani sana, Mzee wetu
Sifikiri kama kweli hujaelewa, ila kwamba umeamua kusema tu kuwa hujaelewa. Ni fikra zangu tu, zinaweza zisiwe sahihi pia.a4a...
Sijaelewa umekusudia nini kusema, ''kuchinjana.''
Nani atamuua nani na kwa sababu gani?
Na itambulike tu kuwa, Tulipotaka kuwa Huru hatukutaka Uhuru NusuNusu, Tulitaka Uhuru wetu wote katika Ukamilifu wake.we unajua uhuru tu ila hao waarabu walichowafanyia wenyeji ulishakiandika?
Watanganyika tushashtuka nyie mafirauni ya Zanzibar hesabuni siku tu...mnajifanya kulia lia miendelee kutunyonya...
Sina mchungaji najichunga Ila siku zenu zinaahesabika na jini maimuna wenuNdivyo ulivyoambiwa Na mchungaji wako?
Jibu swali please
Jibu swali umeuwawa ?Leo umelishwa bangi Na mchungaji wako badala ya ule mkate?
a4a...na WanaBarza,Na itambulike tu kuwa, Tulipotaka kuwa Huru hatukutaka Uhuru NusuNusu, Tulitaka Uhuru wetu wote katika Ukamilifu wake.
Matambiko, Falme zetu, Uchumi wetu, Mila na Desturi.
Wakatupumbaza kwa Viini Macho na Leo tunavionea Fahari na kuvipigania kuvihalalisha vichwani mwetu.
Hawasikikii wala hawataki kujua Waliyopitia Babu zao Kuvishwa Utumwa walionao leo. Kinachokera zaidi, katika Utumwa wao wanajionea fahari na kujihesabia haki.
Huyu Jamaa Mhadzabe kakujibu kwa hoja zinazokuakisi vizuri mno na dhamira yako halisi...jitafakari ukiwa na fikra huru bila hizo agenda zenu za kidini.Mhad...
Ahsante kwa mchango wako.
Huna lolote la kuzungumza kwa hili la 20:80 miaka 60 baada ya uhuru?
Wafia dini utazadhali walizaliwa huko mashariki ya kati .
Umewahi kukemea kitendo hiki kikifanywa wazi na hadharani na ndugu zako wakina Dau, Kikula na wengineo? Au ilikuwa sehemu ya agenda yenu ya malalamiko?Kitendo cha upendeloleo wa fursa kwa wafuasi wa imani yako dhidi ya wengine.
Atajulia wapi nae ni kafiri?Sheikh Mohammed, huyu jamaa sijui hata Kama anajua maana ya udini
Jibu hili linazidi kuprove hoja ya mleta mada! Halitushangazi sisi wengine tuliozowea kusoma mada zako with open mind.Kichuguu,
Siwezi kuwa mjinga wa kiwango hicho unachonibebesha.
Dini ni muhimu katika utawala wa nchi yeyote ile.
Hii hali ya 20:80 miaka 60 baada ya uhuru kuwa waumini wa dini fulani ndiyo wanahodhi serikali ndilo tatizo.
Kutegemea watu wasiulize ni jambo lisilowezekana.
Kazi kweli kweliWafia dini utazadhali walizaliwa huko mashariki ya kati .
Daah hizi dini hizi
Umewahi kukemea kitendo hiki kikifanywa wazi na hadharani na ndugu zako wakina Dau, Kikula na wengineo? Au ilikuwa sehemu ya agenda yenu ya malalamiko?
Chuo chenu pale Morogoro Kuna Mkristo anasoma kwa Raha Kama ambavyo ninyinasoma vyuo vya wakristo?
Zimepitwa na wakatiMohamed Said Hoja zako zinamashiko lakini je zimepitwa na wakatii?